Nimeacha damu yangu ughaibuni (Michigan, US) kisa ni ubaguzi wa rangi. Ushauri please

Hahahaha,mdau amtambue mwenye makala tu ili story iendelee. Shida yetu story yake na wala sio yeye.
Anavyoitaja Houston hadi unahisi huyu jamaa kazaliwa USA!
Bwana bwana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
humu ndani kuna vituko story za vijijini zinakubalika faster ila mtu akishasema alikuwa mbele basi lazima iwe chai aiseee [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3]wabongo tuna wivu Sana
 
INAENDELEA.........
.
.
.
Charlotte Middleton
alikua ni mrembo sana , na kwa kweli sikumstahili hata kidogo. Usiku ule ndani ya residence za Wardworth ni wa kukumbukwa kwa muda mrefu wa maisha yangu, kwa mara ya kwanza nilifanikiwa kumuweka Charlotte kifuani kwangu , nilimtafuna, nilimla na kumsaza kwa namna zote, japo ni kama nilikua nambaka tu kwani Pombe zilimkolea sana.
Asubuhi nilikua wa kwanza kuamka, nilitamani kuurudia mchezo ila hofu ilinijia ghafla, nilawaza, nimekula tunda hili kihalali au ni kwa kuwa mrembo alikuwa tungi. Nilimtingisha kwa namna ya kumuamsha mtoto, ila...........................itaendelea
.
.
.
(Naomba nirudi nyuma kidogo, nieleze ni namna gani nilifika Marekani, then nitaendelea)

Mwaka 2010 nadhani mwezi November au December (sikumbuki vizuri) nilifanikiwa kupata nafasi ya kufanya Mitihani ya SAT na TOEFL. Nikiwa kidato cha sita katika moja ya shule hapa nchini, kwanza tulifanya SAT Exams kwa ufadhili wa ubalozi wa Marekani, na kituo cha mitihani kilikua ni HOPAC (Heaven of Peace Academy) kilichopo Mbezi Beach, katika maisha yangu sikuwahi kufanya mtihani wenye changamoto kama ule. Kwanza, sikuwa na maandalizi ya kutosha kwani, tulikua kwenye kipindi cha kujiandaa na NECTA ACSEE hivyo sikuupa kipaumbele mtihani wa SAT. Pili, ukichana na mathematics, walikua wana test Language skills (English) kuanzia writting, listenning na talking. Binafsi, kiingereza kilinipa tabu sana. Ila Mungu si Athumani nilifanikiwa kupata alama 1980 katika mtihani ule na kupata vigezo vya kupata scholarship ya kusoma Marekani.(Cutpoint zilikua alama 1800)

Mtihani wa pili ulikua ni TOEFL Exams, huu ulikua rahisi kidogo, nakumbuka tulifanyia UDSM mwezi wa Kwanza katika taasisi ya Computer mkabala na jengo la utawala. Mtihani huu ni wa Lugha tu, na ulifanyika online kwa muda wa masaa matatu. Nifanya vizuri kwani haukuwa mgumu kama SAT. Baada ya matokeo ya mitihani yote miwili, tulifanikiwa kuchaguliwa wanafunzi wawili kutoka shuleni kwetu kuendelea na taratibu nyingine za admission katika vyuo mbali mbali vya Marekani.
Mwezi wa Pili Mwaka 2011 nilifanikiwa kufanya mtihani wa taifa (ACSEE) kwa combination ya PCM (baadae mwezi wa tano matokeo yalitoka, na nilifaulu sana).

Baada ya kukamilisha taratibu zote za ku-apply vyuo Marekani na taratibu zote za kuomba ufadhili, majibu yalitoka mwezi wa nne(2011) kwamba nimechaguliwa kujiunga na University of Illinois, Chicago. Niliomba kusoma Telecommunication Engineering na nilipata 80% ya ufadhili wa tuition fee ambayo ilikua karibu USD 45K kwa mwaka. Bahati mbaya, sikupata ufadhili wa aina yoyote kutoka chuoni hapo kwani zilihitajika karibu USD 30K kwa ajili ya Accomodation, 20% tuition fee, Insuarance na pesa ya kuniwezesha kuishi Marekani.

Nilitakiwa kureport chuoni Mwezi wa tisa 2011, lakini mpaka mwezi wa saba mwishoni, njia zote za kutafuta pesa iliyobaki zilikua zimegonga mwamba, Kabla ya hapo nilikua naendelea na taratibu zote za kuomba udahili katika vyuo vyetu hapa nyumbani ikiwa ni pamoja na kuomba mikopo kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
Kwa hiyo, wakati naelekea kugonga mwamba kwenda Marekani, majibu ya udahili wa vyuo nchini yalitoka, na nilifanikiwa kuchaguliwa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (Telecomunication Ebgineering), huku nikipata mkopo kwa 100%.

Nilitamani sana kusoma elimu yangu ya juu Marekani, nilifanya kila nililoweza kufanikisha, nilimuomba sana Mungu aniwezeshe, nilifanya bidii kwenye mitihani yangu ya SAT na TOEFL, nilifanya vizuri kwenye mtihani wangu wa taifa (japo haukuwa na mchango wowote) hivyo niliona nimefanya kila nilichoweza kutimiza ndoto yangu ya kwenda Marekani.

Mwezi wa Tisa 2011, uliwadia, nikiwa na Scholarship ya 80% ya tuition fee, ila nikiwa sina fedha ya kukidhi maisha yangu nikiwa Marekani, niliona juhudi zangu za kutimiza ndoto yangu zimefika ukingoni, na mimi nitabaki kuwa wa hapahapa, mwezi wa kumi ukifika nitakuwa wa UDSM.

Asubuhi moja nikiwa nyumbani kwetu, nilipokea simu kutoka kwa mmama mmoja (naomba nimuhifadhi jina lake), aliyefanya kazi katika ubalozi wa Marekani hapa nchini kama mratibu wa elemu, aliniita niende mara moja ofisini kwake, nakumbuka ilikuwa ni Ijumaa, ndani ya Lisaa limoja nilikua nimefika getini , nilijitambulisha kwa walinzi na kuonesha kitambulisho cha uanafunzi (bado nilikua ninatumia kitambulisho cha Advance) kwamba nilikua nina appointment na yule mama. Niliruhusiwa kuonana naye baada ya wao kujiridhisha.
Yule mama alinipa mawazo na kufungua njia ambayo ndiyo ilikua ticket yangu ya kwenda Marekani. Aliniambia kwamba, kwanza ni lazima ni-switch vyuo, pia ni lazima ni-switch course ninayotaka kusoma. Akasema taasisi inayotaka kukufadhili, iko tayali kukupa kiwango hicho hicho cha pesa (80% ya USD 45K, sawa na USD 35K) ukakitumie kwenye chuo kingine cha bei rahisi kidogo na course ya bei rahisi pia. Nilikubaliana na mama mara moja, na kwa pamoja tukaanza taratibu za kutafuta chuo ili niweze kufanya transfer, ndani ya wiki moja tayari chuo kilikua kimepatikana. Pia ilinilazimu kusogeza mbele muda wa kujiunga na chuo kwani kwa mwezi wa tisa nilikua nimechelewa sana.

Michigan Technological University, walikubali ombi langu la kujiunga nao, nikawa enrolled kuchukua Electrical Engineering, iliyokuwa inagharimu karibu USD 27K kwa mwaka. Walikubali kunifadhili accomodations kwa 100% kwani nilikua nalipiwa 100% ya tuition fees na taasisi iliyonifadhili. Na kiwango cha fedha kilichobaki, nilikitumia kwa matumizi yangu mengine ikiwemo insurance.
Nilitakiwa kujiunga na chuo hiki 24.11.2011, mara moja taratibu za kuomba Visa ya kwenda Marekani zilianza kwa msaada wa karibu wa yule mama na ndani ya siku 40, Visa yangu ilikua tayari.

Sikuwa hata na nauli ya ndege iliyokaribia USD 800 kwa shirika la ndege la KLM kupitia Amsterdam, familia yangu pamoja na marafiki walijichanga ili kufanikisha safari yangu, daima nitawakumbuka kwa hili.
Tarehe 20.11.2011, nikitumia ndege ya KLM tulitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.F.Kennedy, Newyork, Ilikua mida ya Saa mbili usiku nilipokelewa na Danstan Howard (aliafanya kazi katika taasisi iliyonifadhili) na kunipeleka katika domestic airport inaoitwa Newyork La Guardia, moja kwa moja tulisubiri katika moja ya mgahawa wa ndani ya airport hiyo angalau kwa masaa mawili kabla ya kukwea pipa kwenda Hancock Airport, Michigan. TUlifika mida ya saa kumi na Mbili asubuhi na kufikia kwenye hotel iliyo jirani na chuo. (kutoka Newyork mpaka Hancock,Michigan ni karibu masaa sita)

Taratibu za udahili na usajili zilianza mara moja, na nilifanikiwa kupata muda wa kujifunza historia ya chuo, miiko na tamaduni zake. Nilifanikiwa pia kutembezwa mazingira muhimu ya chuo ili kuzoea hali zote chuoni pale. Baada ya wiki moja, kulikua na orientation program kwa ajili ya wanafunzi wageni, ambayo iliongozwa na ofisa wa ofisi ya mshauri wa wanafunzi.

Kwa sehemu, hivi ndivyo nilivyofanikiwa kufika Michigan,Marekani, County ya Houghton , chuo kikuu cha kitechnologia cha Michigan.
.
.
.
Muendelezo wa Maisha yangu chuoni hapo, mapenzi yangu kwa binti Charlotte Middleton bin Peters na mkasa mzima wa kutekwa na kulazimika kukimbia marekani kwa sababu ya Charlotte utaendelea Kesho Panapo majaliwa.

asanteni sana.
 
safi sana achana na wajuaji ao tupe data
 
Duuuuh. Lugha gani hii. Andika kiswahili mkuu acha kuvamia lugha za watu
ushauliza lugha gani na umesema niache kuvamia lugha za watu akili 0 kumbe ushajua hii sio lugha ya watu hii ni lugha ya kule kwa wanyama na iyo wanatumia sana swala
 
Bless
 
A true story hiii. Lete mkuu

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
humu ndani kuna vituko story za vijijini zinakubalika faster ila mtu akishasema alikuwa mbele basi lazima iwe chai aiseee [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom