KWA WALE CRITICS WOTE WANAOISEMA HII STORY KUWA NI CHAI:
Hivi mnafuatilia story sababu ni nzuri au sababu ni kweli?
Mtu akileta story yake isiyovutia ila ya ukweli inayohusu tabia yake ya kupifa miayo miksa chafya utaifuatilia sababu ni kweli?
"Niliamka asubuhi mida ya saa moja nikapiga miayo, sijakaa vizuri chafya kali ikanishika, ile naanza kupiga chafya si ikakata, nikaamua niamke tu, nikachukua mswaki wakati naweka dawa ile chafya ikarudi safari hii niliipiga chafya yangu, nikatoka sebleni nikafanya mambo yangu mpaka usiku, nikapiga miayo nikalala. Asubihi nilipoamka tu nikapiga miyaoo kama jana
Itaendelea............"
Kinachowafanya watu wafuatilie story ni sababu inavutia hata kama si ya kweli bado utaiponda ila utasoma sababu inakupa burudani hivyo tufurahie hadithi mambo ya ni chai au mtori tuachane nayo.