Nimeacha damu yangu ughaibuni (Michigan, US) kisa ni ubaguzi wa rangi. Ushauri please

Nimeacha damu yangu ughaibuni (Michigan, US) kisa ni ubaguzi wa rangi. Ushauri please

KWA WALE CRITICS WOTE WANAOISEMA HII STORY KUWA NI CHAI:

Hivi mnafuatilia story sababu ni nzuri au sababu ni kweli?

Mtu akileta story yake isiyovutia ila ya ukweli inayohusu tabia yake ya kupifa miayo miksa chafya utaifuatilia sababu ni kweli?

"Niliamka asubuhi mida ya saa moja nikapiga miayo, sijakaa vizuri chafya kali ikanishika, ile naanza kupiga chafya si ikakata, nikaamua niamke tu, nikachukua mswaki wakati naweka dawa ile chafya ikarudi safari hii niliipiga chafya yangu, nikatoka sebleni nikafanya mambo yangu mpaka usiku, nikapiga miayo nikalala. Asubihi nilipoamka tu nikapiga miyaoo kama jana
Itaendelea............"

Kinachowafanya watu wafuatilie story ni sababu inavutia hata kama si ya kweli bado utaiponda ila utasoma sababu inakupa burudani hivyo tufurahie hadithi mambo ya ni chai au mtori tuachane nayo.
 
Mtamfanya jamaa aache kuleta story, hata kama ni chai mtulie huko, story nzuri hii banah
 
Mijitu ya hivi inaboa kichiz
Hello my People;

Samahani sana kwa kupotea kama kwa wiki mbili hivi.

Msiba wa Mzee umenitesa sana na niko Chato mkoani Geita kushiriki mazishi.

Niwaahidi, Kesho baada ya mazishi tutaendelea tulipo ishia.
Iwe ukweli au Chai yote nayajua mimi.

Asanteni
Brother ndo umesepa jumla, achana na hao njoo tumalizie story yetu
 
Hello my People;

Samahani sana kwa kupotea kama kwa wiki mbili hivi.

Msiba wa Mzee umenitesa sana na niko Chato mkoani Geita kushiriki mazishi.

Niwaahidi, Kesho baada ya mazishi tutaendelea tulipo ishia.
Iwe ukweli au Chai yote nayajua mimi.

Asanteni
Hatutaki matango yako hapa, eti.... Nilitumia dakika moja nikimwangalia....
 
Huyu jamaa Mjinga Sana kapotelea wapi hizi ndio hua story za uongo anasubir kutunga
 
Hizi ndio story Sasa [emoji1739][emoji1739][emoji16]

Woiiiiiiiiiiii[emoji91]
 
Back
Top Bottom