Nimeacha kazi U.A.E ya ubaharia niliyotafutiwa na shangazi

Katolewe kwa wazungu kama unataka ujilaze laze kama mjamzito
 
Jinga sana wewe. Mitoto ya siku hizi bure kabisa. Unaacha kazi mwanaume mzima unaogopa jua?

Subiri sasa kazi ya kwenye AC broiler wahed wewe
 
Ni kushinda juani na si kukesha. Pili heshimu njia zako. Ukiwasikiliza sana watu utaumia. Maliza shule yako uangalie mbele.
 
Sema uliacha mpenzi wako bongo na ukawaza atakuwa anadinywa kwa kasi ya 5G.
Kama wenzio wanaweza kuvumilia kwanini wewe ushindwe na ni mwanaume mwenye kende mbili?
Nahisi wewe ni toka familia bora au mtoto wa mama madeko mengi.
 
Sema uliacha mpenzi wako bongo na ukawaza atakuwa anadinywa kwa kasi ya 5G.
Kama wenzio wanaweza kuvumilia kwanini wewe ushindwe na ni mwanaume mwenye kende mbili?
Nahisi wewe ni toka familia bora au mtoto wa mama madeko mengi.
Hahah, mkuu hapana asee maisha ya kule hayakua rafiki kabisa.
 
Kama unakesha juan Kwan hapakuwa na miamvuli ya kimchongo na Miami ya Jua ndugu
 
Dah! Hii thread iliachwaje mda wote huo without even a single comment?inashangaza kidogo.
 
Nikukumbushe TU ukitaka kufanikiwa usiangalle flani au nanj anasema njni kukuhu,
uangalie moyo wako,inabidi ujifanye kauzu
Huyo jamaa hana huo uwezo kwa sababu anawategemea ndugu wamtoe kimaisha.

Anawaza, akimaliza CPA nani atamtafutia kazi wakati kila ndugu anamponda na kusema alitafutiwa kazi akakimbia.

Cha kufanya, apambane yeye kama yeye akifanikiwa ndiyo pona pona yake kwa hao ndugu kumpiga madongo. Akiendelea kuzubaa atakuwa mfano kwa ndugu!
 
Ushamaliza CPA? Hilo jua lazima ulitoka mweusi tiii...

Uamuzi wa maisha yako ni wako. Fanya unaloona sahii.
 
Kuna jua Kali haswa joto huwa linafika 49°C

Pole pambana
 
Ulipaswa kununua kofia kubwa ya kujikinga na jua kali na kuvaa mavazi ya maeneo ya joto kali basi. Manake hata huko ofisini unapokwenda kuna joto kali pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…