Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

Nyie bishaneni juu ya vyuo cjui nn!!! Nilitokea kazini kwenda kusoma then walichokuwa wanakihitaji kwangu ni shahada tu na wala haijalulishi nimeipata wapi na kale ka NGO kangu kanakwenda vizuri, Udsm maboya tu!!
 
Wabongo wa kukariri kwa kuongea ujinga!! Hivi Bakhresa kasona Udsm?? Fanya yako usivimbe kichwa kwa jina la chuo, Udsm maboya tu #Team Udom#
 

waambie maana kuna watu wana imani za mkumbo eti kisa kasoma udsm anaona kamaliza kila kitu wakati watu wanalia na degree hizo za udsm
 
Hata mimi utoto ulinifanya nisione kama kuna sekondari kuishinda Tambaza.
 
 
mimi naomba nitoe ushuhuda, nilisoma chuo kimoja hapa daa kipindi hicho nilikuwa na cert ya clinical assistant bei niliopokea hata bsc ya education pale udsm watasubir sana
 
Udsm jina tu msiogope,tukutane kwa interview kama sijakutoa nocaut na oral.
 
ni vizuri kuwapa moyo waliokosa nafasi udsm maana pale ndo elimu bora ilipo ila sio kwamba vyuo vingine havifundishi heshima ya udsm itabaki pale pale tu asilimia 90 ya wanafunzi wake ni wale vichwa wa a level schools zote tz. Wape moyo wapate gpa nzuri masters wasikose nafasi tena!
 
Ndo wanavyojazana ujinga ata wakiwa wnafanya usaili. Mtu anachaguliwa li koz udsm hajui ata akimaliza anakua nani imagine. Just alitaka kwenda ud ndo wamejaa humu ndani inaniuma sana mwanafunz wa chuo kikuu hajui fani anayosoma anakuja kufanya kaz gan. Huku ndo kudata mkumbo njoo mtaani uone kwenye interview wa udsm wanawekwa upande wao na vyuo vingine upande wao
 

sio kweli hamna asiyejua kua atapata kazi gani sema kuna coz kama socialogy zinacover maeneo mengi ya ajira kwaio akikuuliza sio kwamba hajui bali anataka ya nyongeza kwa wenye uzoefu
 

kumbe wewe bado mwanafunzi!
 
 
1
swali ? ni je? kazini unaulizwa umesoma wapi?
2.udsm wanapata kazi kuliko vyuo vingine?
3.sociology ya udom ni tofauti na udsm/
 
1
swali ? ni je? kazini unaulizwa umesoma wapi?
2.udsm wanapata kazi kuliko vyuo vingine?
3.sociology ya udom ni tofauti na udsm/

waulize wanasoma udsm ilivyorahisi kupata scholarships nje sio vyuo mbuzi kama mweka ukisoma wikipedia wameandika kuna ukiritimba toka walimu wakizungu waondoke! Haaa nani awaamini sasa.....
 
Mtoa post umepevuka, kuna mwana udsm anaandikiwa barua Kila mwaka na wanafunzi hawez kufundisha mpaka ameamua awe analewa tu kutuliza mawazo..... Kwenye vyeti Ana bonge la G.P.A et nmefundishwa na maprofesa kibao..... Darasani hawez kucheza na mind za watu-hasomeki
 
kuna wa2 wanafkir kama hujaxoma udsm bac hujaenda chuo.eti alichagua udsm akakoxa.kwan hpo kuna fakat zote? hapo kuna md,pharmacy,nursing,lab tech.mbona toka nianze kusoma a level cjawah kufikiria udsm.cha ajab unasoma education tena arts unamdharau anayesoma kcmc,bugando,st francis.we c n chiz kabxa!!!
 
Acha uongo wewe...wadanganye wasiojua...kumezeshwa hizo essentials kusikufanye unaijua sana petroleum...kujua kwako vi maneno about overview ya petrol kusikupe kichwa....ni wivu ndio uliokukaa akilini mwako..kwanza hakuna mwanafunzi hata m1 wa udom petroleum engineering ambaye amefanya field Puma energy mwaka huu,,,3rd year wote wapo wanne tu darasani na field wamefanyia statoil wote...na second year wote wamefanyia field makampuni mengine na siyo Puma energy,,,,,kama unaendelea kubisha nakuumbua sasahivi....sio tu mnajenga chuki au kusikia alafu mnavuja uongo......Tafuta njia nyingine ya kudanganya lakini siyo hii uliyokuja nayo,,,
 

Nmekupenda bureee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…