Jenerali kiduta
Member
- Sep 28, 2014
- 12
- 7
nyinyi pigeni kabobo weeee mkichoka mtakaa mbali na keyboard.tanzania hii chuo ni kimoja tu, MUM ( Muslim University of Morogoro) period.vingine vyote vinapanga foleni.twih twih twih!
Udsm jina tu msiogope,tukutane kwa interview kama sijakutoa nocaut na oral.
wanafunzi wengi(sio wote) wa udsm wanakariri tu vitini ili wafaulu mitihani yao ndio maana hawapo competent ukilinganisha na vyuo vingine tena vinavyochipukia. Mfano nilivyokuwa field mwaka wa pili kwenda wa tatu, nilipata field tanesco makao makuu kufanya field ya accounting. Sasa ndipo nilipogundua wanafunz wengi wa udsm ni shalloow. wao kaz yao ni kujisifu tu kuwa wamesoma udsm na zarau nyiingi. Ila kwenye kaz ni f na wavivu. Mkuu wa kitengo akiwauliza maswali ya kawaida tu ya accounts hawajui hata kidogo, wakibanwa sana wanasema eti hilo swal ni la koz ya mwaka wa kwanza so hawakumbuki, yaan ni full aibu. Ila wanafunz wa tia na ardhi wapo vizur aisee had raha ingawa mimi sijasoma ivyo vyuo.
Course za kienyeji enyeji hizo mpk data star na eagle wing wanazo...
Ukitaka kujua utamu wa udsm, kamata m/funzi wa CoET, CoNAS au kitivo cha sheria, then compare na m/funzi wa chuo kingine...
Nilikua field Puma Energy na w/funzi udom 3rd yr petro. Eng. M/funzi hajui kbs hata zile essentials ndogo ndogo, ukimwambia drilling rigs, blowout preventer, drilling bits, pipe tongs, drill pipe elevator, stingers, swellable packers, phase separation gas/oil mixture, oil dehydration and desalting, ata ukimwambia 2nd phase separation of oil-water emulsion anabaki anakutumbulia mijicho...
Hadhi ya UDSM ipo pale²
Ardhi kimeanza kutambulika kama chuo 2007 nayo ni asante jakaya kitambo kilikua kinatambulika kama uclasAhya mkuu lakini ukweli utasimama daima kuwa vyuo nchini ni UDSM MZUMBE SUA na ARDHI hivyo vingine vyote ni asante Jakaya.