Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

cjui kwa nn hyo ni tabia ya wabongo wengi akishajiona ana kielimu flan basi wenzake anawaona kama c watu yan siendi mbali me mwenyew nna tabia kama hyo ila kila cku namuomba mungu anisaidie itoke koz huwa najistudia
 
nyinyi pigeni kabobo weeee mkichoka mtakaa mbali na keyboard.tanzania hii chuo ni kimoja tu, MUM ( Muslim University of Morogoro) period.vingine vyote vinapanga foleni.twih twih twih!

Tena ongezea mwisho wa siku ni unayapelekaje maisha na sio ulisoma chuo gani....
 
wanafunzi wengi(sio wote) wa udsm wanakariri tu vitini ili wafaulu mitihani yao ndio maana hawapo competent ukilinganisha na vyuo vingine tena vinavyochipukia. Mfano nilivyokuwa field mwaka wa pili kwenda wa tatu, nilipata field tanesco makao makuu kufanya field ya accounting. Sasa ndipo nilipogundua wanafunz wengi wa udsm ni shalloow. wao kaz yao ni kujisifu tu kuwa wamesoma udsm na zarau nyiingi. Ila kwenye kaz ni f na wavivu. Mkuu wa kitengo akiwauliza maswali ya kawaida tu ya accounts hawajui hata kidogo, wakibanwa sana wanasema eti hilo swal ni la koz ya mwaka wa kwanza so hawakumbuki, yaan ni full aibu. Ila wanafunz wa tia na ardhi wapo vizur aisee had raha ingawa mimi sijasoma ivyo vyuo.

Nilkuwa napita tu, ila uzi umenigusa, ni kweli siyo w/funz wote, ni baaz na huwez kujaj chuo km chuo, n juhud binafsi za mwanafunz mwenyewe.
Hiin true, imetokea, nilkuwa Field nikiwa Diploma mwaka wa pili cye tunaita NTA5, nikiwa MIST kipnd hcho,now MUST, nilifanya field pale Mbeya Cement kitengo cha IT, nna Computer Engineering, ukwel n kwamba tulikuwa na m/funz wa UDOM mwaka wa1 Degree Comp. Sc and Eng., UDSM 2 mwaka wa 1 na mwaka 3 same coz, St. Joseph Dar, 3, 1 mwaka wa 2 Comp Sc. and Eng. na 2 mwaka wa 3, Info. system and Networking Eng. wote Degree. lakin wote wao hovyo kabisa ktk vitendo, walkuwa vizur ktk theory, Progrmming na Database, vitu vdogo km RAM,HDD, RJ-45, Mother board, walikuwa hawajui vnafananeje na vnakaa wap ktk Comp. sasa linganisha, wao Degreee mm Diplom, kwel? juz tu 2011, Now Nachukua Bachelor Comp. Eng. palepale MUST, na hao jamaa na wadada washamalza Degree zao.

Sasa hapo cjui km ni ishu ya CHUO au MWANAFUNZI mwenyewe?
 
Course za kienyeji enyeji hizo mpk data star na eagle wing wanazo...

Ukitaka kujua utamu wa udsm, kamata m/funzi wa CoET, CoNAS au kitivo cha sheria, then compare na m/funzi wa chuo kingine...

Nilikua field Puma Energy na w/funzi udom 3rd yr petro. Eng. M/funzi hajui kbs hata zile essentials ndogo ndogo, ukimwambia drilling rigs, blowout preventer, drilling bits, pipe tongs, drill pipe elevator, stingers, swellable packers, phase separation gas/oil mixture, oil dehydration and desalting, ata ukimwambia 2nd phase separation of oil-water emulsion anabaki anakutumbulia mijicho...

Hadhi ya UDSM ipo pale²

Duu napita tu.
 
Ahya mkuu lakini ukweli utasimama daima kuwa vyuo nchini ni UDSM MZUMBE SUA na ARDHI hivyo vingine vyote ni asante Jakaya.
Ardhi kimeanza kutambulika kama chuo 2007 nayo ni asante jakaya kitambo kilikua kinatambulika kama uclas
 
Iicho chuo ni noma ww ndio hukijui ni chuo cha taifa cha tax na wanafunz wanaosoma hapo ni wachache na ni direct employment wakimalizaga
 
Back
Top Bottom