Cdhani kam kulikuwa na haja ya kutujulisha kuwa umehama kwani hata ulipokuwa shabiki wa arsenal tulikuwa hatujui
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hahahaaaaa...!! Walivyokuwa wakichekelea na kusema tumeshindwa mtumia vichwa vikazidi kuwa vikubwa alipoifungia England sasa wacha wakione kipaji chake #MasterOfMidadi
Vile vigoli viwili vya England Wacha1 alichonga utadhani MC wa mchiriku leo kanywea.
Hamia Chelsea wako safi yanini uumie moyo?Yaani mpira unatoka nje refa haoni,linesman haoni hili ni goli la kwanza goli la pili Rafael anasukumwa refaa haoni bado akatoa penalty ya mazabe ina maana hata wewe hukuona.
.......hahaha, umefufuka ee? :coffee:
Halafu nyie mashabiki 'plastic' wa Man U si majuzi tu mlikuwa mnalilia DVG awekwe bench?[/QUOTE]
weka source ya argument yako
Mkuu Ngongo hivi tangu uhamie MANU mmeshachukua makombe mangapi vile? Halafu mwaka jana timu yako mpya na Arsenal ipi ilikuwa juu katika EPL table? Wakikuchosha karibu sana nyumbani tutakupokea kwa mikono miwili na mzinga wa tafrija kukukaribisha tena nyumbani.
CC: Mbu, Wacha1 na washabiki na wapenzi wa Gunners popote pale walipo.
.......hahaha, umefufuka ee? :coffee:
Halafu nyie mashabiki 'plastic' wa Man U si majuzi tu mlikuwa mnalilia DVG awekwe bench?
Mkuu Ngongo hivi tangu uhamie MANU mmeshachukua makombe mangapi vile? Halafu mwaka jana timu yako mpya na Arsenal ipi ilikuwa juu katika EPL table? Wakikuchosha karibu sana nyumbani tutakupokea kwa mikono miwili na mzinga wa tafrija kukukaribisha tena nyumbani.
CC: Mbu, Wacha1 na washabiki na wapenzi wa Gunners popote pale walipo.
Ha ha ha ha ha hivi Man ipo nafasi ya ngapi na Arsenal ipo namba ngapi ?.Halafu bado Man haijacheza vizuri hii ni kwa mujibu wa Van Gaal na Ngongo je tukicheza vizuri dakika zote 90 tutakuwa nafasi ya ngapi ?.