Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

Tulia kijana mmezoa kutangaza ndoa mkiachana hakuna tangazo ha ha ha ha ha ha ha ha maumivu hadi ndani ya roho mtajibeba mwaka huu.

Cdhani kam kulikuwa na haja ya kutujulisha kuwa umehama kwani hata ulipokuwa shabiki wa arsenal tulikuwa hatujui

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
1410898790933_wps_57_Arsenal_s_Danny_Welbeck_m.jpg

Hili kubwa jinga limebaki na kipa bado likashindwa kufunga.
 
Ngongo;

Hahahaaaaa...!! Walivyokuwa wakichekelea na kusema tumeshindwa mtumia vichwa vikazidi kuwa vikubwa alipoifungia England sasa wacha wakione kipaji chake #MasterOfMidadi
 
Last edited by a moderator:
Vile vigoli viwili vya England Wacha1 alichonga utadhani MC wa mchiriku leo kanywea.

Ipo siku utabadili kabila pindi utakaposikia sifa mbaya ya kabila lenu !
 
Vile vigoli viwili vya England Wacha1 alichonga utadhani MC wa mchiriku leo kanywea.

Na kuanza kusifu kuwa kuingia kwake tuu Arsenal na kufunga magoli katika timu ya Taifa basi Wenger alikuwa kashamlisha madini kumbe hata hakuwa amefanya mazoezi nao na lile lilikuwa vumbi alilotoka nalo OT....
 
Last edited by a moderator:
Haswaa.

Wanazi wa Arsenal naweza kupewa matokeo ya mechi kati yenu na Borussia Dortmond bahati mbaya nilikuwa maeneo ya vijijini hakuna TV kabisa ndugu yangu Wacha1 anaweza kunisaidia zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Eti timu sio kabila unaweza hama. Sidhani kama ni kweli zaidi ya unafiki na kufuata mkumbo.
 
Yaani mpira unatoka nje refa haoni,linesman haoni hili ni goli la kwanza goli la pili Rafael anasukumwa refaa haoni bado akatoa penalty ya mazabe ina maana hata wewe hukuona.
Hamia Chelsea wako safi yanini uumie moyo?
 
.......hahaha, umefufuka ee? :coffee:
Halafu nyie mashabiki 'plastic' wa Man U si majuzi tu mlikuwa mnalilia DVG awekwe bench?[/QUOTE]

weka source ya argument yako
 
Mkuu Ngongo hivi tangu uhamie MANU mmeshachukua makombe mangapi vile? Halafu mwaka jana timu yako mpya na Arsenal ipi ilikuwa juu katika EPL table? Wakikuchosha karibu sana nyumbani tutakupokea kwa mikono miwili na mzinga wa tafrija kukukaribisha tena nyumbani.

CC: Mbu, Wacha1 na washabiki na wapenzi wa Gunners popote pale walipo.
 
......hahaha, #Arsenal tunaruhusu URAIA PACHA, yaani ashabikie na team mojawapo ya kibongo, i.e Simba Taifa Kubwa, Yanga 'kandambili', etc....
 
Ha ha ha ha ha hivi Man ipo nafasi ya ngapi na Arsenal ipo namba ngapi ?.Halafu bado Man haijacheza vizuri hii ni kwa mujibu wa Van Gaal na Ngongo je tukicheza vizuri dakika zote 90 tutakuwa nafasi ya ngapi ?.

.......hahaha, umefufuka ee? :coffee:
Halafu nyie mashabiki 'plastic' wa Man U si majuzi tu mlikuwa mnalilia DVG awekwe bench?
 
Usikimbilie mambo ya mwaka jana ongea mambo ya sasa hivi Arsenal ipo nasi ya ngapi na Man ipo nafasi ya ngapi.

Mkuu Ngongo hivi tangu uhamie MANU mmeshachukua makombe mangapi vile? Halafu mwaka jana timu yako mpya na Arsenal ipi ilikuwa juu katika EPL table? Wakikuchosha karibu sana nyumbani tutakupokea kwa mikono miwili na mzinga wa tafrija kukukaribisha tena nyumbani.

CC: Mbu, Wacha1 na washabiki na wapenzi wa Gunners popote pale walipo.
 
Ha ha ha ha ha hivi Man ipo nafasi ya ngapi na Arsenal ipo namba ngapi ?.Halafu bado Man haijacheza vizuri hii ni kwa mujibu wa Van Gaal na Ngongo je tukicheza vizuri dakika zote 90 tutakuwa nafasi ya ngapi ?.

.....ya Saba!
😛op2:
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom