Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
hahahahahahaha me nina wasiwasi ndio atakuwa yule aliyejirusha ghorofani.
Mkuu wapi hiyo imetokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahaha me nina wasiwasi ndio atakuwa yule aliyejirusha ghorofani.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha Man kupoteza mechi ni suala la mpito tu.

Obviously you are a plastic fan!Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners.
[1] Kukwepa magonjwa ya moyo.
[2] Imeshindwa kutwaa kikombe chochote kwa muda mrefu sana.
[3] Arsenal imekuwa gulio la kuuza wachezaji wake mahiri kwa Club nyingine
Baada ya kutafakari kwa kinaa na bila kushawishiwa au kulazimishwa na mtu au kikundi chochote nimeamua kujiunga na Club ya Manchester United yenye kutumia uwanja Old Trafold.Zipo sababu kibao lakini nitazitaja chache.
[1] Manchester United inaongozwa na manager mwenye mafanikio makubwa kuliko makocha wote wa UK.
[2] Manchester United imechukua ubingwa wa ligi kuu ya UK mara 19,timu inayoikaribia ni Liverpool pekee yake imechukua ubingwa mar 18 tu.
[3] Manchester United inakaribia kuweka rekodi mpya kwa kuchukua ubingwa mara 20, mpaka leo hii inaongoza ligi kwa tofauti ya point 12.
[4] Ukiishabikia Mancheter United uwezekano wa kupatwa na magonjwa ya moyo na kisukari ni mdogo sana.Kila wakati una kuwa ni mtu wa kucheka na kufurahia maisha duniani.
[5] Mwaka 1999 iliweka historia kwa kuchukua vikombe vitatu.Ubingwa wa ulaya.ubingwa wa Uk na Kombe la ligi.
[6] Mashabiki wa Manchester United ni wakarimu, wapole na wenye kujua kuchambua soka. Sifa hizo zinanihakikishia kwamba nitapokelewa vizuri.
Wapenzi wa Arsenal mtanisamehe sana kuhama club ni jambo la kawaida kwa mashabiki kama ilivyo kawaida kwa wachezaji. Siwezi kuendelea kusononeka hapa duniania kisa kupenda Club mbovu.
Nakala: Wacha1 Idimi Belo Steve Dii Mphamvu Dark City gfsonwin The Boss BAK Rejao Viper mfarisayo MwafrikaHalisi Kibunango Maxence Melo EMT Balantanda Mwita Maranya
Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners.

Ala.... Kumbe ungali hai?
Pole mkuu. Maana sababu ulizozitoa za kukimbia Arsenal umezikuta ManU na zaidi.
Haijawahi kutokea Arsenal kuwa chini ya nbr 4 kwa miaka yote ya Wenger...
Leo hii ManU hata namba 10 itakuwa bahati bahati.
Usiame arsenal kukitokea machafuko na kashifa za viongozi wa kiimani uwame na dini pia, ww sio mwana sport