Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

Toka mbwa wewe wala hauhitajiki.nyie wanafiki tu hamjawah na wala sio wapenda arsenal bali wanafiki tu mnazngua. Unafaida gan ukishabikia ....... Kafie mbal nyie ndo mnatuletea mikosi tu mbuzi nyie
 
Hutakiwi kumtukana mkuu,humu ndani kuna mashabiki wa mpira na mashabiki wa matokeo ya baada ya mechi,na huyu ni among them!
 
Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners.

[1] Kukwepa magonjwa ya moyo.

[2] Imeshindwa kutwaa kikombe chochote kwa muda mrefu sana.

[3] Arsenal imekuwa gulio la kuuza wachezaji wake mahiri kwa Club nyingine

Baada ya kutafakari kwa kinaa na bila kushawishiwa au kulazimishwa na mtu au kikundi chochote nimeamua kujiunga na Club ya Manchester United yenye kutumia uwanja Old Trafold.Zipo sababu kibao lakini nitazitaja chache.

[1] Manchester United inaongozwa na manager mwenye mafanikio makubwa kuliko makocha wote wa UK.

[2] Manchester United imechukua ubingwa wa ligi kuu ya UK mara 19,timu inayoikaribia ni Liverpool pekee yake imechukua ubingwa mar 18 tu.

[3] Manchester United inakaribia kuweka rekodi mpya kwa kuchukua ubingwa mara 20, mpaka leo hii inaongoza ligi kwa tofauti ya point 12.

[4] Ukiishabikia Mancheter United uwezekano wa kupatwa na magonjwa ya moyo na kisukari ni mdogo sana.Kila wakati una kuwa ni mtu wa kucheka na kufurahia maisha duniani.

[5] Mwaka 1999 iliweka historia kwa kuchukua vikombe vitatu.Ubingwa wa ulaya.ubingwa wa Uk na Kombe la ligi.

[6] Mashabiki wa Manchester United ni wakarimu, wapole na wenye kujua kuchambua soka. Sifa hizo zinanihakikishia kwamba nitapokelewa vizuri.

Wapenzi wa Arsenal mtanisamehe sana kuhama club ni jambo la kawaida kwa mashabiki kama ilivyo kawaida kwa wachezaji. Siwezi kuendelea kusononeka hapa duniania kisa kupenda Club mbovu.

Nakala: Wacha1 Idimi Belo Steve Dii Mphamvu Dark City gfsonwin The Boss BAK Rejao Viper mfarisayo MwafrikaHalisi Kibunango Maxence Melo EMT Balantanda Mwita Maranya

Mkuu habari za Old Trafford? Vipi Moyes hajambo? Mpe salamu nyingi kiraka Fellain.
 
anza mwaka huu kuishabikia
 
[4] Ukiishabikia Mancheter United uwezekano wa kupatwa na magonjwa ya moyo na kisukari ni mdogo sana.Kila wakati una kuwa ni mtu wa kucheka na kufurahia maisha duniani.

Nina uhakika sasa hivi mechi za Man utd unaziangalizia ICU.
 
Na mimi nadeclare nahamia Manchester Utd. Vitu Moyes anavyovifanya ni unprecedent
 
Huyu Ngongo
Kapotelea wapi?
Au keshakufa kwa yaliyomfanya ahame Arsenal? Maana aliyoyakuta ManU ni makubwa zaidi!!! Atavumilua kushuka daraja huyu??

Ngongo .... Hebu tupashe how it feels now you are ManU mpenzi???

Kwilwikwiiikwik
 
Mkuu, usihangaike na watu ambao wako kwenye matembezi lakini hawafahamu wako wapi na wanaenda wapi!

Mtu asiyefahamu anakoenda kila sehemu ndiyo kituo chake na ndiko anakoenda!

David Moyes is the Man!
 
Kuna watu huwa wana akili mbofu sana ..hasa huyu Ngongo sijui ataficha wapi sura yake
 
Last edited by a moderator:
[4] Ukiishabikia Mancheter United uwezekano wa kupatwa na magonjwa ya moyo na kisukari ni mdogo sana.Kila wakati una kuwa ni mtu wa kucheka na kufurahia maisha duniani.

Nina uhakika sasa hivi mechi za Man utd unaziangalizia ICU.

hahahahahahaha me nina wasiwasi ndio atakuwa yule aliyejirusha ghorofani.
 
Kuna watu huwa wana akili mbofu sana ..hasa huyu Ngongo sijui ataficha wapi sura yake

hahahahahahaha huyu jamaa sasa hivi anatakata tu maana The Chosen One anafanya mambo makubwa kweli Pale Old Toilet.
 
Last edited by a moderator:
[4] Ukiishabikia Mancheter United uwezekano wa kupatwa na magonjwa ya moyo na kisukari ni mdogo sana.Kila wakati una kuwa ni mtu wa kucheka na kufurahia maisha duniani.

Nina uhakika sasa hivi mechi za Man utd unaziangalizia ICU.
huyo shabiki matokeo atakuwa hatazami tena mpira
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha Man kupoteza mechi ni suala la mpito tu.
 
Back
Top Bottom