Haya ndio yalinikimbiza Arsenal imefika mahali hadi manager anapiga sarakasi Wacha1 uliona hizi mbwembwe za Mr Bean halafu kuna mijitu ya Arsenal bado inanilaumu kukimbia majanga ?.
Nakala: Mbu Nzi Mentor Belo proNDO BAK Balantanda TUJITEGEMEE Kitoabu Konaball mfarisayo adolay Ngongoseke
jamani hivi hii sio photoshop?? maanake huyu mzee uwezo wa kupiga sarakasi kautoa wapi??? hii EPL itamuua huyu babu
Haya ndio yalinikimbiza Arsenal imefika mahali hadi manager anapiga sarakasi Wacha1 uliona hizi mbwembwe za Mr Bean halafu kuna mijitu ya Arsenal bado inanilaumu kukimbia majanga ?.
Nakala: Mbu Nzi Mentor Belo proNDO BAK Balantanda TUJITEGEMEE Kitoabu Konaball mfarisayo adolay Ngongoseke
Haya ndio yalinikimbiza Arsenal imefika mahali hadi manager anapiga sarakasi Wacha1 uliona hizi mbwembwe za Mr Bean halafu kuna mijitu ya Arsenal bado inanilaumu kukimbia majanga ?.
Nakala: Mbu Nzi Mentor Belo proNDO BAK Balantanda TUJITEGEMEE Kitoabu Konaball mfarisayo adolay Ngongoseke
Mkuu Ngongo.
Mimi sikulaum inauma sana kuwa na kocha mpuuzi kiasi hiki, juzi tu champ leage dak30 za mwisho watu wanarudisha bao
3 haikubaliki, Jana mijitu imechoka katikati kila mtu anaona lakini hafanyi mabadiliko tulipochapwa lapili eti anafanya sub
jamaa aliniboa nikazima kishumbuzi cha DSTV badala ya kubadilisha channel - yaani nilichanganyikiwa.
Lakini mkuu mapenzi yapo rohoni, utahama katika kauli na maelezo lakini moyoni utabakia Asernal - kama ipo moyoni.
Copy BAK , everlenk
Kwahiyo umekubali kuendelea kuumia sio !.
@Ngongo umeshaangalia EPL table hivi karibuni ili kuona timu yako mpya iko nafasi ipi katika table hiyo na ile ya zamani pia iko nafasi gani? Acha kukurupuka Mkuu!!!!
hili swali naomba likurudie boss
@Ngongo umeshaangalia EPL table hivi karibuni ili kuona timu yako mpya iko nafasi ipi katika table hiyo na ile ya zamani pia iko nafasi gani? Acha kukurupuka Mkuu!!!!
naomba nimsaidie kujibu....timu yake mpya iko nafasi ya NNE na ile ya zamani iko nafasi ya NANE!!!! khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe..........hama mkuu Mr. Bean atawauwa kwa stress
Khe Khe khe Khe Khe Again the question was supposed to be answered within 24 hours, therefore your answer is invalid ππ enjoy your stay in that position for few more days π hahami ntu hata kama tunashuka daraja, which is impossible
mkuu usiseme hivyo...