Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

3551_151951881651963_1957921043_n.jpg

Haya ndio yalinikimbiza Arsenal imefika mahali hadi manager anapiga sarakasi Wacha1 uliona hizi mbwembwe za Mr Bean halafu kuna mijitu ya Arsenal bado inanilaumu kukimbia majanga ?.

Nakala: Mbu Nzi Mentor Belo proNDO BAK Balantanda TUJITEGEMEE Kitoabu Konaball mfarisayo adolay Ngongoseke

jamani hivi hii sio photoshop?? maanake huyu mzee uwezo wa kupiga sarakasi kautoa wapi??? hii EPL itamuua huyu babu
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha Mr Bean atatengua nyonga bora abwage manyanga mapema Jmosi atakutana na mziki mwingine sijui atachomokea wapi.

jamani hivi hii sio photoshop?? maanake huyu mzee uwezo wa kupiga sarakasi kautoa wapi??? hii EPL itamuua huyu babu
 
3551_151951881651963_1957921043_n.jpg

Haya ndio yalinikimbiza Arsenal imefika mahali hadi manager anapiga sarakasi Wacha1 uliona hizi mbwembwe za Mr Bean halafu kuna mijitu ya Arsenal bado inanilaumu kukimbia majanga ?.

Nakala: Mbu Nzi Mentor Belo proNDO BAK Balantanda TUJITEGEMEE Kitoabu Konaball mfarisayo adolay Ngongoseke

Mkuu Ngongo.

Mimi sikulaum inauma sana kuwa na kocha mpuuzi kiasi hiki, juzi tu champ leage dak30 za mwisho watu wanarudisha bao

3 haikubaliki, Jana mijitu imechoka katikati kila mtu anaona lakini hafanyi mabadiliko tulipochapwa lapili eti anafanya sub

jamaa aliniboa nikazima kishumbuzi cha DSTV badala ya kubadilisha channel - yaani nilichanganyikiwa.

Lakini mkuu mapenzi yapo rohoni, utahama katika kauli na maelezo lakini moyoni utabakia Asernal - kama ipo moyoni.

Copy BAK , everlenk
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo umekubali kuendelea kuumia sio !.

Ohooo pole sana wewe endelea kuumia hata jmosi uliumia sana mwenzako nilicheka sana.

Mkuu sina alternative nitaendelea kuumia nikiamini siku moja tutapata mkombozi.
 
@Ngongo umeshaangalia EPL table hivi karibuni ili kuona timu yako mpya iko nafasi ipi katika table hiyo na ile ya zamani pia iko nafasi gani? Acha kukurupuka Mkuu!!!!

hili swali naomba likurudie boss
 
LoL! Hahahahaha hili swali liliulizwa lini? Haliko valid tena kama ni mtihani angefeli vibaya sana, swali lijibiwe within 24 hours baada y hapo linaexpire.

hili swali naomba likurudie boss
 
@Ngongo umeshaangalia EPL table hivi karibuni ili kuona timu yako mpya iko nafasi ipi katika table hiyo na ile ya zamani pia iko nafasi gani? Acha kukurupuka Mkuu!!!!

naomba nimsaidie kujibu....timu yake mpya iko nafasi ya NNE na ile ya zamani iko nafasi ya NANE!!!! khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe..........hama mkuu Mr. Bean atawauwa kwa stress
 
Khe Khe khe Khe Khe Again the question was supposed to be answered within 24 hours, therefore your answer is invalid 🙂🙂 enjoy your stay in that position for few more days 🙂 hahami ntu hata kama tunashuka daraja, which is impossible

mkuu usiseme hivyo...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Arsenal til i dieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
​ Ngongo ni shabiki mpotevu, atarudi tu Gunners maana hana furaha kabisa huko aliko.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom