Nimeacha kuishabikia Arsenal

Naona nafasi ya pili au ya tatu itatuhusu msimu huu.
 

Hope hizi mechi mbili zimekutuliza moyo.....
 
Last edited by a moderator:
Ngongo ulifanya uamuzi wa busara sana.....huko umewaacha hali ni mbaya sana..........
 
Last edited by a moderator:
everlenk

Jana Asernal tumepigwa kipuuzi, yaani homa za masaa nimajanga kabisa hata usingizi wangu haukuwa mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Inaoneka dhahir wewe ni shabik wa man u ila baada ya kuvutiwa na michezo mizur iliyopita ya arsenal ukaamua kudandia treni, nenda zako tuache na ARSENAL yetu. ARSENAL 4EVER
 
Ha ha ha ha Mr. Mangi acha hizo jana uliangalia mpira au ulikuwa umelala ?.Monaco walikuwa wanawakimbiza Arsenal utadhani watoto wadogo.Nilikuwa siwapendi Man Utd jinsi walivyokuwa wakizichapa timu nyingine ila uzalendo ukanishinda nikaamua kwa hiyari kujiunga na timu ya washindi.

Inaoneka dhahir wewe ni shabik wa man u ila baada ya kuvutiwa na michezo mizur iliyopita ya arsenal ukaamua kudandia treni, nenda zako tuache na ARSENAL yetu. ARSENAL 4EVER
 

mechi niliangalia mwanzo mwisho ila haiwezekan timu ifanye vibaya iwe ndo tiket ya kuhama wewe utakuwa ni mshangiliaji na sio mshabiki na hizi ndio timu zako chelsea, madrid, bayern, juve, city n.k
 



Vijana wa kazi wapo katika hatua za mwisho kukamilisha mipango ya kuizabua Arsenal leo usiku tafadhali msikose kuangalia kandanda safi la mashetani wekundu.
 



Duh Wacha1 sijui atakuwa kakimbilia wapi simwoni siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…