Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

Naona nafasi ya pili au ya tatu itatuhusu msimu huu.
 
Mkuu Ngongo.

Mimi sikulaum inauma sana kuwa na kocha mpuuzi kiasi hiki, juzi tu champ leage dak30 za mwisho watu wanarudisha bao

3 haikubaliki, Jana mijitu imechoka katikati kila mtu anaona lakini hafanyi mabadiliko tulipochapwa lapili eti anafanya sub

jamaa aliniboa nikazima kishumbuzi cha DSTV badala ya kubadilisha channel - yaani nilichanganyikiwa.

Lakini mkuu mapenzi yapo rohoni, utahama katika kauli na maelezo lakini moyoni utabakia Asernal - kama ipo moyoni.

Copy BAK , everlenk

Hope hizi mechi mbili zimekutuliza moyo.....
 
Last edited by a moderator:
Ngongo ulifanya uamuzi wa busara sana.....huko umewaacha hali ni mbaya sana..........
 
Last edited by a moderator:
everlenk

Jana Asernal tumepigwa kipuuzi, yaani homa za masaa nimajanga kabisa hata usingizi wangu haukuwa mzuri.
 
Last edited by a moderator:
2617F9D700000578-0-image-a-9_1424897676243.jpg

Nakala,

jmushi1, Viper, Jiwe Linaloishi, Balantanda, Saint Ivuga, Ng'wanza Madaso, Oxlade-Chamberlain, mafanikio, Questt, STREET SMART, Rejao, bucho,Zizu, Mboko, TUJITEGEMEE, Adoe, Piere. Fm, Ulimakafu, kashengo, e2themiza, dp cooper, Eiyer, Ethical Ninja CEH, mchemsho, Ng'wamapalala,Smile, HNIC, MwafrikaHalisi, Fekifeki, juma sal, fyddell, Albizo, demisky, twende kazi, Mzalendo Mkuu, Lhey, ameline, Senior Lecturer, TZ kwanza,Ntuzu, hitilafu, AMOC MAGEE, hatari lakini salama, Lumwagoz, KAYMALI, ikbarabdul, favored_one
 
Inaoneka dhahir wewe ni shabik wa man u ila baada ya kuvutiwa na michezo mizur iliyopita ya arsenal ukaamua kudandia treni, nenda zako tuache na ARSENAL yetu. ARSENAL 4EVER
 
Ha ha ha ha Mr. Mangi acha hizo jana uliangalia mpira au ulikuwa umelala ?.Monaco walikuwa wanawakimbiza Arsenal utadhani watoto wadogo.Nilikuwa siwapendi Man Utd jinsi walivyokuwa wakizichapa timu nyingine ila uzalendo ukanishinda nikaamua kwa hiyari kujiunga na timu ya washindi.

mechi niliangalia mwanzo mwisho ila haiwezekan timu ifanye vibaya iwe ndo tiket ya kuhama wewe utakuwa ni mshangiliaji na sio mshabiki na hizi ndio timu zako chelsea, madrid, bayern, juve, city n.k
 
2671965400000578-2985472-image-a-24_1425848826527.jpg

Vijana wa kazi wapo katika hatua za mwisho kukamilisha mipango ya kuizabua Arsenal leo usiku tafadhali msikose kuangalia kandanda safi la mashetani wekundu.
 
26BF2C0100000578-2999441-image-m-36_1426626321752.jpg

Duh Wacha1 sijui atakuwa kakimbilia wapi simwoni siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom