AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Vijana wa kazi wapo katika hatua za mwisho kukamilisha mipango ya kuizabua Arsenal leo usiku tafadhali msikose kuangalia kandanda safi la mashetani wekundu.
Inaoneka dhahir wewe ni shabik wa man u ila baada ya kuvutiwa na michezo mizur iliyopita ya arsenal ukaamua kudandia treni, nenda zako tuache na ARSENAL yetu. ARSENAL 4EVER
Pamoja ya kutumia £150M ili kumaliza top 4 bado mpo hatarini kulikosa kombe la 4th spot.Mission ilikuwa top 4 ubingwa mwakani tutaheshimiana hapa mjini.
Ngoja LVG aisuke timu upya mtaipenda tu unajua hakuwa na muda wa kuiandaa timu sababu ya kombe la Dunia subirini mwezi 8 tutaheshimiana hapa mjini.
Sitashangaa kuona mkishindwa kukwalifai kupata group stage.Nafasi ya nne ni yetu Liver kachemsha siku nyingi.
Jiunge rasmi darajani
Kikosi cha maangamizi msimu ujao sijiu kama atapona mtu hapa.