Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

2671965400000578-2985472-image-a-24_1425848826527.jpg

Vijana wa kazi wapo katika hatua za mwisho kukamilisha mipango ya kuizabua Arsenal leo usiku tafadhali msikose kuangalia kandanda safi la mashetani wekundu.

hivi iliishaje hii mechi maana hata sikumbuki..!?
jana pia kulikuwa na mechi na Everton imeishaje matokeo yake....!?
 
Mission ilikuwa top 4 ubingwa mwakani tutaheshimiana hapa mjini.

hivi iliishaje hii mechi maana hata sikumbuki..!?
jana pia kulikuwa na mechi na Everton imeishaje matokeo yake....!?
 
mkuu Ngongo unaonaje ukirudi kuishabikia Arsenal koh koh koh. Tunaanza usajili wa washabiki muda si mrefu.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja LVG aisuke timu upya mtaipenda tu unajua hakuwa na muda wa kuiandaa timu sababu ya kombe la Dunia subirini mwezi 8 tutaheshimiana hapa mjini.

Baada ya pre-season yenu mlikuwa mnasema "tutaheshimiana,tutaheshimiana " bado mnaongea utumbo huo huo baada ya kuspend £150M kununua wachezaji. Endeleeni kujipa moyo lakini mjuwe next season mtakuwa kama msimu huu timu zitakuja OT kujizolea point na kuingia gizani
 
286BC2BA00000578-0-image-a-70_1431027462403.jpg

Kikosi cha maangamizi msimu ujao sijiu kama atapona mtu hapa.
 
Last edited by a moderator:
Nataka kuihama man utd kwenda arsenal. Nipeni process
 
Back
Top Bottom