Nimeacha kuishabikia Arsenal

Ngongo bado upo Manchester United au ulirudi arsenal??
 
Last edited by a moderator:
Achana na ugnjwa wa moyo huo utakuja kufa bure......arsenal sio kabila kwamba huwezi kubadilisha
 
Process ya kwanza lazima uwe karibu na hospital ya magonjwa ya moyo.Jiunge na mfuko wa bima ya afya....

Nataka kuihama man utd kwenda arsenal. Nipeni process
 
Huna madhara hata ukiacha ingawa wewe si arsenal,,
 
Nakwambia mimi nilikuwa Arsenal ukitaka ushahidi muulize Wacha1 tulilia wote Man walipotutandika goli 8 BAK rubaman Mentor ndio usisema wiki nzima nilikuwa nawafariji hata kula walikuwa hawawezi kabisa.

Huna madhara hata ukiacha ingawa wewe si arsenal,,
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha lol! hujui kupenda wewe Ngongo ungekuwa unajua kupenda usingehama Gunners. Raha ya kupenda ni pale unapofurahia ushindi na kusononeka pale mnapofanya vibaya. Hakuna timu hapa duniani ambayo inashinda kila leo. Vipi sasa ule mpango wako wa kuhamia Chelsea msimu ujao umeishia wapi? Hahahahahah lol! Dongo hiloooo. Karibu tena Gunners tutakupokea kwa mikono miwili weye mwana mpotevu na kukufanyia sherehe kubwa sana.

Nakwambia mimi nilikuwa Arsenal ukitaka ushahidi muulize Wacha1 tulilia wote Man walipotutandika goli 8 BAK rubaman Mentor ndio usisema wiki nzima nilikuwa nawafariji hata kula walikuwa hawawezi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kile kichapo cha goli 8 kama si kutumia umahiri wangu Wacha1 alikuwa anakimbilia sumu nikaona duh isiwe taabu ngoja nihame chama.

Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha lol! ila inakosesha raha Mkuu hata ikiwa goli moja tu kufungwa ni kufungwa tu, ngoja siku mtundikwe goli nane kama hutarudi Gunners weye!

Mkuu baada Ya kipigo cha mwizi ukabwaga manyanga
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha lol! ila inakosesha raha Mkuu hata ikiwa goli moja tu kufungwa ni kufungwa tu, ngoja siku mtundikwe goli nane kama hutarudi Gunners weye!

Inategemea unapigwa hizo goli 8 na nani. Tulipigwa goli 6-1 na man city ikauma ila tukasahau na ndio huo mwaka man city wakachukua ubingwa dakika ya 93. Uzuri wa United ni kwamba pamoja na kufungwa ila makombe yanatufanya tusahau maumivu yote.
 
Process ya kwanza lazima uwe karibu na hospital ya magonjwa ya moyo.Jiunge na mfuko wa bima ya afya....

Nimenenepa sana, nataka kukonda. Nitahamia arsenal kuanzia msimu ujao ukianza.
 
Kufungwa ni kufungwa tu whether una makombe au huna makombe. Mngejiliwaza "sisi tuna makombe acha tufungwe tu" na hivyo kuendelea na yule kocha mliyemtimua MORE NO AKA MOYES

Inategemea unapigwa hizo goli 8 na nani. Tulipigwa goli 6-1 na man city ikauma ila tukasahau na ndio huo mwaka man city wakachukua ubingwa dakika ya 93. Uzuri wa United ni kwamba pamoja na kufungwa ila makombe yanatufanya tusahau maumivu yote.
 
wee ndo Game Theory????
just being curious!! Whoever you are, utakuja kula matapishi yako si muda mrefu, na ninaamini nafsi inakusuta mpaka leo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…