Nimeacha kuishabikia Arsenal



Sir Alex katika ubora wake baada ya mechi ya Arsenal na Man Utd.
 
Mheshimiwa Wacha1 vipi umekimbia jukwaa wakati unajua kipigo Old Trafold ni suala la kawaida sana.
 
Kwani wewe una nini kwa club arsenal?au kutokushabikia kwako kuna athari gani kwa club hiyo? Watu kila siku mnaitwa tumbili na hao mnaowashabikia ila hamuachi kujipendekeza. Clubs za simba na yanga zipo bongo ila mnajifanya hazioni, mnakataa vya kwenu na kushabikia vya watu.
 
Akipisha
 

Attachments

  • IMG-20160228-WA0029.jpg
    36.4 KB · Views: 26
Na leo wamechezea tena bakora za mdomo.
 
Babu Wenger ana share kwenye bet companies..don't dare trust that mzee...eti Leo team imefungwa bado unaendelea kuwatoa men of the match kwa upande wa Arsenal Sanchez&Campbell then unaliacha bwege Giroud mbele dakika zote 90.. Unaingiza mzembe mmoja anaitwa Walcot..pale pale nikaamini huyu mzee ana interest zake nyingine lakini sio kuchukua ubingwa.
 
Ujumbe waleo hakikisha popote ulipo na chochote unachofanya wa pembeni yako ajue wazi kabisa kua wewe timu yako sio arsenal .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…