Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

31A633E700000578-3467913-image-a-64_1456675320311.jpg


Nakala: Wacha1 Idimi Belo Steve Dii Mphamvu Dark City gfsonwin The Boss BAK RejaoViper mfarisayo MwafrikaHalisi Kibunango Maxence Melo EMT Balantanda Mwita Maranya
 
31A63A1B00000578-3467913-image-a-25_1456672139615.jpg


Sir Alex katika ubora wake baada ya mechi ya Arsenal na Man Utd.
 
Mheshimiwa Wacha1 vipi umekimbia jukwaa wakati unajua kipigo Old Trafold ni suala la kawaida sana.
 
Kwani wewe una nini kwa club arsenal?au kutokushabikia kwako kuna athari gani kwa club hiyo? Watu kila siku mnaitwa tumbili na hao mnaowashabikia ila hamuachi kujipendekeza. Clubs za simba na yanga zipo bongo ila mnajifanya hazioni, mnakataa vya kwenu na kushabikia vya watu.
 
Akipisha
 

Attachments

  • IMG-20160228-WA0029.jpg
    IMG-20160228-WA0029.jpg
    36.4 KB · Views: 26
Babu Wenger ana share kwenye bet companies..don't dare trust that mzee...eti Leo team imefungwa bado unaendelea kuwatoa men of the match kwa upande wa Arsenal Sanchez&Campbell then unaliacha bwege Giroud mbele dakika zote 90.. Unaingiza mzembe mmoja anaitwa Walcot..pale pale nikaamini huyu mzee ana interest zake nyingine lakini sio kuchukua ubingwa.
 
Ujumbe waleo hakikisha popote ulipo na chochote unachofanya wa pembeni yako ajue wazi kabisa kua wewe timu yako sio arsenal .
 
Back
Top Bottom