Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

UTDCITYCOMP333_2753002a.jpg

City atacheza ligi ya mchangani mwakani heee heee.
 
Mkuu zumbemkuu habari za siku siku hizi kimya sana au Dr kakuzuia hata kuandika maana mikutano ni yeye tu wengine hapana mkilazimisha magari ya washawasha yanawasubiri.
 
We ni mshabiki ndio maana umeacha, sababu sikuzote shabiki hufurahia mazuri tuu ila sisi "wapenzi" wa Arsenal tutaendelea hata tupigwe 6
 
Msiwe washabiki ambao mko serious hivyo
Just enjoy watching your team - win or lose
 
We ni mshabiki ndio maana umeacha, sababu sikuzote shabiki hufurahia mazuri tuu ila sisi "wapenzi" wa Arsenal tutaendelea hata tupigwe 6
Makocha na wachezaji wanaolipwa wanatimuka, hebu amukeni wana Arsenal hameni hata kwa mkopo.
 
Back
Top Bottom