Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

Kama utaendelea na huu msimamo wako, lazima utakua piers morgan wewe
Haahaaahaaaa, hii trend huwa tunapitia kila mwaka! Emotipnal rollercoaster with a sad ending.
Nimemchoka huyu babu mpaka abebe ndoo kubwa EPL au UCL.
 
unadhani hilo (red) linaweza kutokea hivi karibuni?
any way never say never kabakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake hope mwaka huu ata deliver kitu
 
Unamaana Arsenal kuchukua UEFA champions league ni ndoto mkuu?
 
Back
Top Bottom