Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

Wewe ni "glory hunter". Na Watanzania wengi wako hivyo, mnashabikia timu inayofanya vizuri na si mapenzi ya timu kama timu. Unadhani watu wanotoka Highbury Street huko London wanaweza kushabikia timu tofauti??? Hamia Man U.

Btw: Mimi chama langu ni Norwich City tangu enzi hizo nchi hii hatujui TV ni nini! Kabla hujauliza niliwajulia wapi; Norwich City walitembelea Tanzania (but I don't remember the year) baba yangu alinipeleka kuwaona wakicheza na Yanga. I got hooked to them todate, washuke wapande nipo nao tu.

Hongera Mzee wa Norwich
 
3B5A9D2D00000578-4030202-image-a-7_1481665894252.jpg


Haaaa haaaa mwaka huu wetu🙁
 
Unajiuliza pale aseno kwann huyu mzee asiomdoke mtu amekaa miaka 13 bila kombe anasubiri nini
 
Back
Top Bottom