Nimeacha kuishabikia Arsenal

Wanazi wa Arsenal mnasemaji leo mtachoka kwa Spurs ?.
 
Msimu huu zile timu kubwa za england zimekuwa weak sana.
 
Nakuunga mkono.mi nimechukia sana ila bado naipenda
 
Wenger anatuzingua sijui kwanini yule mzee hataki kuamini kuwa maisha yanaweza endelea bila yeye kuwa kocha anakuwa kama M7 au M gb
 
Watu tuna hobby na pressure kuicha Arsenal ni kujikosesha uhondo
 


Haaa haaaa Wacha1 katimua mbio utadhani mwanariadha wa Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…