Nimeacha kuishabikia Arsenal

City atacheza ligi ya mchangani mwakani heee heee.
 
Mkuu zumbemkuu habari za siku siku hizi kimya sana au Dr kakuzuia hata kuandika maana mikutano ni yeye tu wengine hapana mkilazimisha magari ya washawasha yanawasubiri.
 
We ni mshabiki ndio maana umeacha, sababu sikuzote shabiki hufurahia mazuri tuu ila sisi "wapenzi" wa Arsenal tutaendelea hata tupigwe 6
 
Watu wanahama dini itakuwa team πŸ™
Umechukua maamuzi sahihi. In fact kwa mujibu wa wamiliki wa Arsenal, Wenger is there to stay kwa sababu anazalisha faida, hana shida na vikombe. NUKTA. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
We ni mshabiki ndio maana umeacha, sababu sikuzote shabiki hufurahia mazuri tuu ila sisi "wapenzi" wa Arsenal tutaendelea hata tupigwe 6

Haaa haaa ndio hivyo tena hakuna namna itabidi mpigwe tu.
 
Msiwe washabiki ambao mko serious hivyo
Just enjoy watching your team - win or lose
 
We ni mshabiki ndio maana umeacha, sababu sikuzote shabiki hufurahia mazuri tuu ila sisi "wapenzi" wa Arsenal tutaendelea hata tupigwe 6
Makocha na wachezaji wanaolipwa wanatimuka, hebu amukeni wana Arsenal hameni hata kwa mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…