Nimeacha kuishabikia Arsenal

Kuacha kushabikia arsenal ni kuchagua fungu njema
 
unatumiaa kilevi gani...??.una uhakika na hiyo # 3 yako..???
 


Man Utd imechukua mara 20
 
Huu uzi utafanyiwa reference kila arsenal anapofungwa.
 
Unatoka nafasi ya 3 na 4 unaenda nafasi ya 6 kisa historia!!
 
Mi siachi ila itaanza kuifatilia tena wenger akiondoka....kwasasa hata ratiba sitaki kuijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…