SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Ila Wenger bado ni kocha mzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa yaliyotokea jana Ujerumani, tafadhali nifundishe na mimi kujitoa fahamu ili nami nihame.Mkuu wangu Mwana Mtoka Pabaya kwani kuhama timu ugomvi mbona wachezaji wanahama ha ha ha ha ha.Hivi huoni furaha niliyonayo baada ya kuhamia Man United.
Mzuri kwa sura au shepu?Ila Wenger bado ni kocha mzuri
Mzuri kwa sura au shepu?
Labda professor wa koroshoWenger kawapumzisha Sanchez ili apindue matokeo ya Bayern Jumanne.
Kweli Wenger Profesa.
Napata hasira Leicester wameonyesha njia ambavyo wachezaji wanaweza Waka engineer move ya kumtoa kocha,Chelsea walifanya kwa Mourinho tatizo pale Arsenal Kuna michezaji misnitch inaogopa ikichomesha wenger akaondoka nao ndio safari itawakumba.
CHAMBARLAIN,GABRIEL,GIBBS,SANOGO,DEBUCHY,MATERSUCKER,COQUELINE,MONREAL,JENKINSON,CHAMBERS,CAMPBELL,PEREZ NA CHIZI MWINGINE RAMSEY NA THEO THESE TWO U CAN BARGAIN.
Imagine wachezaji karibu 16 ambao ni avarage who cant break katika timu kama psg au Juve why do we have them.....
Wenger has to go sema machezaji hayo avarage ndio yanayoshindwa muundia zengwe.
Hili babu ....nge sana...
Pole sana mkuu, Asipoondoka Profesa bado mtasafa sanabinafsi nilishamaliza urafiki na arsenal kwa msimu huu tangu ...tulivyopoteza na watford....
nasubiri wenger ajiuzuru kwanza....waalayy....[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] ......
TATIZO NI WENGER PEKEE....!!!!!.....
nitagoma kuangalia mechi zao zote mpaka bingwa wa kufail atakapoondoka....Pole sana mkuu, Asipoondoka Profesa bado mtasafa sana
Kama Sancheznitagoma kuangalia mechi zao zote mpaka bingwa wa kufail atakapoondoka....
nadhani baadhi ya wachezaji waandamizi wameshaanza kugomea ado ado.....