Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

Mim nilikua shabiki mkubwa sana wa Arsenal, cha ajabu siku hizi hata sijui kinachoendelea arsenal, hilo li timu sinamzuka nalo tena.....yaan saivi nipo single tu......timu haieleweki kabisa..
 
Arsenal bana yaani uginjwa wa moyo.mashabiki wake wengi wameugua kisukari na ugonjwa wa kuanguka,kweli huku kwetu wapo
 
Unahitaji kuwa na moyo wa chuma kuishabikia arsenal, na sio kuwa shabiki uchwara kamwe hauwezi kudumu.
 
007c1368645d836e682cf15e8fd0aa91.jpg
 
Umefanya maamuzi ya maaana,mashabiki wa arsenal wengi wanaroho ngumu.ndo mana wasomali wengi wanaikubali
 
Hahahaha endelea tu jipe moyo mwakani ndooo yenu the the teh athenol
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom