Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

Mtu anaweza acha mke, kazi, hama nyumba, uza gari, kopa benki, pigana, tukanana, lewa sanaa lakini hawezi hama timu tena team yenyewe ARSENAL wewe haukuwa mmoja wetu ulikuwa mamluki!!..simply [HASHTAG]#teamgunners[/HASHTAG]!
 
sawa mfia timu
 
Sindimba ilichezeshwa jana dah mourinho kawaweka vijana wana kasi ajabu lacazee tupa kule
 
Back
Top Bottom