Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

huu uzi kila Arsenal akivurunda lazima wananchi waufukunyue ulipo waurudishe hewani
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mi na ushabiki wangu uliotukuka kwa the Gunners leo nilibet 'both team to score' niliona itapendeza na Juve ashinde na imetokea.

Arsenal si wa kuaminiwa.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mi na ushabiki wangu uliotukuka kwa the Gunners leo nilibet 'both team to score' niliona itapendeza na Juve ashinde na imetokea.

Arsenal si wa kuaminiwa.
Ila wamekupa pesa
 
Nilifikiri unaizungumzia Arsenal, kumbe unaizungumzia Marefa United. Hata mimi najua ina mafanikio sana, ndio klabu pekee yenye kusajili wachezaji na marefa pia.

Kuhusu Arsenal kutochukua vikombe miaka mingi, utakuwa unaumwa wazimu.

Chelsea walisubiri miaka 40

Manchester City miaka 35

Je washabiki wao wamekufa na hayo magonjwa?
Je ni Arsenal peke yake ndio haichukui? Vipi kuhusu West Ham, Everton n.k?
Hivi Yanga inacheza leo??? Tupatieni matokeo
 
Acha nisbirie Liverpool labda wataifunga city ila tubak arsenal kuwa ni invisible pekee
 
Wala hatukulaumu..karibu tena ukiona tumekaa vyema..wengine tutakomaa mkuu..
 
Back
Top Bottom