Nimeacha kuishabikia Arsenal

Yaan Kuna aina mbili za changamoto km kijana inabidi uzikubali tu ili kuepuka kupata kisukari na presha moja n kuwa mshabiki wa arsenal halafu humpendi WENGER hii usipoangalia sukar itakuhusu maana kufungwa yy kwake ni furaha ambapo kwetu sisi mashabiki ni stress changamoto ya pili nitakuja baadae
 
Asnte kwa kulifaham hiloo Mkuu yo sincerely welcome
 
Kumbe na Chambarlend alishamuuza...! Niliona jina lake Liverpool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…