Nimeacha kuishabikia Arsenal

ngogo unadhani hiyo Man United itadumu ktk hali hiyo milele? Kujipeleka kwako Man United ni sawa na mwanaume kumuoa mwanamke usiyempenda eti kisa ana pesa, utaishia kutoka nje ya ndoa kila wakati.
Hata wewe ngogo ulivyojifanya kuhamia Man United lakini bado wewe ni Arsenal fc fan na utaendelea kuishabikia kimya kimya.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Mkuu Ngongo salam zao kule MANU wacha siye wenye roho ngumu tuendelee na maumivu yetu ambayo yanaweza kabisa kusababisha magonjwa ya moyo. Ila unakaribishwa kurudi GUNNERS wakati wowote utakaojisikia kufanya hivyo na tutakupokea kwa mikono miwili na bonge la party. Tukishamtosa AW basi kuna uwezekano mkubwa katika siku za usoni tukawa na timu nzuri ambayo inaweza kabisa kusimama kwa dakika 90 na MANU au MANC na kuchukua 3 points bila ajizi yoyote.
 
Last edited by a moderator:

shabiki wa manure huwa hafichiki..
 

huyo ni manure anataka kuuza sura tu..
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Kwani ulipokuja Arsenal ulitangaza?. Nafikiri hujui hata kinachokupeleka Man U na baada ya miaka miwili siyo ajabu ukarudi tena ulikotoka kwa sababu huyo Manager unayemfuata atakuwa amestaafu na sheria ya matumizi kulingana na uwezo itakuwa imeanziswa.

Eti washabiki wa Man U wapole, my foot.

 

hahaha!! mtotowamjini h hongereni mmejipatia a Bandwagon/Glory Hunter ...... naomba wengine wajiondoe kabisa!

MKUU
Ngongo INCASE UKITAKA KURUDI TUNAKUKARIBISHA KWA MIKONO MIWILI
 
mimi ni mshabiki wa liverpool

kuishabikia arsenal ni sawa tu na kuishabikia totenham
wao wanatafuta 'the fourth place' kila mwaka


mkuu sasa kushabikia liver pool si bora qpr !
 

:nono::nono::nono:
 
Asenali Bana!!!!!!

Bado sitafanya uamuzi ...nasubiria tena miaka 5 Wenger atakuwa mzee!!

We shall be back again!
 
Mimi Arsenal kwa EPL, Kwa Spain nipo Barca na Real Madrid zote nazipenda ila sanasana Real Madrid, kwa Italy Juventus tangu zamani na niliijua ilipocheza na timu ya Parma, mimi ni Arsenal kabisa nimeipenda hii timu tangu 1994 hadi leo pamoja na kutochukua makombe mengi bado mapenzi yangu yapo pale pale, sihami ng'o! eti niende Manure eti soka lao ni la uhakika???? hapana bana...!
 
Nikwambie ukweli wangu kwa mfano.

Naipenda Arsenal sina maneno ya kuelezea upenzi wangu. Ikifungwa naipenda zaidi kwa sababu inanihitaji na mimi naihitaji. Ikishinda imetimiza wajibu wake.

Kitu cha msingi ni aina ya mpira wanaocheza. Cha pili kiuchumi hawatakuja pata hasara.

Uingereza haina wenye nchi wanaoshinikiza apate makombe.

Uwanjani mechi zote za Arsenal ndizo zinazoa mashabiki na mapato na inategemewa sana kimapato na timu zingine.

Siamini kama kufungwa Arsenal kuna uhusiano na mpira bali ni matokeo yanayoweza kuwa ya kweli au yakupangwa.

Zaidi na mwisho ni kiwanda cha wachezaji wa uhakika RVP, Walcot, Wilshere na kapteni wake aliyeko bacelona. Hata wewe Ngongo ukisajiliwa na kukaa Arsenal mwaka mmoja tu utapata bei kwa timu ye yote unayoiota.
 
Mkuu wangu Mwana Mtoka Pabaya kwani kuhama timu ugomvi mbona wachezaji wanahama ha ha ha ha ha.Hivi huoni furaha niliyonayo baada ya kuhamia Man United.

Jiandae kuhama tena, soon mara baada ya kustaafu Ferguson, marefa wataacha uoga na kuchezesha mpira kwa haki. Huo ndio utakuwa mwisho wa glory days of OT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…