Nimeacha kuishabikia Arsenal

wewe sio shabikiiiiiiiiiii

yaani wewe ni shabiki fekiiiiiiiiiiiiiiiiii

mashabiki wa kweli hawahami timu yaho hata iweje ndio maana timu za hata madaraja madogo zina mashabiki na makombe hawana pia.

Duh wewe softiiiiiiiii ndugu wewe, mwanaume awe mgumu jamani
 
lol! Sema umekosea hapo ulitaka kuandika Arsenal najua ni mshabiki wa miaka mingi sasa hata kile kiwalo cha gunners ukikivaa kinakupendeza mno!!! 🙂🙂

teh teh tehhhhh, hata mimi nahamia airtel, lol!
 

kwaher naakutakia maisha mema.....
 
lol! Sema umekosea hapo ulitaka kuandika Arsenal najua ni mshabiki wa miaka mingi sasa hata kile kiwalo cha gunners ukikivaa kinakupendeza mno!!! 🙂🙂
ha haaa, mshabiki kwa lazima, lol!
kila unakogeukia "The gunners", kuna choice hapo kweli?:A S shade:
 
Reactions: BAK
Duh mzurimie sababu zote nilizozitaja bado unataka nibaki Arsenal kweli duniani kuna maajabu.

 
Last edited by a moderator:
Eti umevalishwa kwa lazima lol! Wakati kivazi kinakutoa ile mbaya 🙂🙂

ha haaa....
ila rafiki unajua upinzani ndo mpango mzima, hata kama unavalishwa kivazi cha the gunners kilazima
 
Ngongo Dah! Pamoja na sababu tele ambazo zinaashiria kutojiami na kukosa uvumilivu na pasipo shaka kutojijua... Nakupa pongezi..Mbaya zaidi misimamo yako unaweza kuifananisha na yule dada wa bongo fleva ambaye aliingia CCM kwa kishindo na sasa anajijutia...
 
Last edited by a moderator:
sasa Ngongo leo ndio utajua Aseno Wenga ni tawi la Man U kwa mara ya kwanza toka uende man u unafurahia kama Rvp kuifunga timu yako ya zamani
 
Mkuu Ngongo, sababu zote zina majibu Old Traford. Karibu kwa wajanja
 
Glory hunter huyo... sijui saivi atashsbikia timu gani... labda aende Liverpool..
 
Natumaini jamaa anajutia uamuzi wake... jamaa anajaribu kuomba arushiwe boya baada ya kuruka kutoka kwenye MV Gunners!
 
Wakuu mtakufa kwa roho zenu mbaya subirini hadi mwezi 5 Man U itakuwa imekaa katika nafasi yake stahiki ha ha ha ha.Arsenal na Liverpool zimetangulia na baskeli ya mbao wakifika kwenye mlima.........


How's life at united mkuu ... Hehehehe ...

Cc Wacha1 BAK Nzi Rejao

Glory hunter huyo... sijui saivi atashsbikia timu gani... labda aende Liverpool..

Natumaini jamaa anajutia uamuzi wake... jamaa anajaribu kuomba arushiwe boya baada ya kuruka kutoka kwenye MV Gunners!
 
we kwanza shabiki wa lipuli chini ya nsajigwa so cjapatwa sana na mshtuko kuona hii thread yako lkn pia nadhani umeacha kushabikia gunnerz kwa manufaa yako tuachie AR53NAL yetu kaa pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…