Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nimeacha kuishabikia Arsenal

Baada ya Wenger kutangaza kuacha kuifundisha Arsenal mwisho wa msimu huu,Huu uzi inabidi muubadilishe muuandike nimerudi kuishabikia Arsenal mpya bila Wenger.
 
Miaka mingine 10 ya kuijenga timu?

Hapo sijui itachukua muda gani kwa sababu mwalimu anayekuja na yeye atakuja na falsafa yake.hizi timu ambazo zimeongozwa na makocha waliokaa miaka 7 na kuendelea huwa zinataka muda si kidogo kurudi kwenye ubora wake.Wenger na yeye anaiacha club si matakwa yake ila ameshinikizwa na viongozi wa juu.kwa sababu yeye alikuwa anategemea labda atakuja kuwa na kikosi bora kama kile cha kina Henry na wenzake kumbe zama zishaisha tena.ila kila la heri Arsenal mpya irudi kuwa club za top 4 kushindania ubingwa wa ligi.
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Wenger kasema mpaka ipite miaka 50 tena wahesabu mwaka ambao atakuwa hayupo arsenal ndiyo watashinda league.ile mingine ifutwe
 
Back
Top Bottom