SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Mbona hata huko ulikoenda makombe hakuna kwasasa utazidi kupata ugonjwa wa moyo na ukafa kabisa kama vipi hamia man city huku raha tu
Wapi huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata huko ulikoenda makombe hakuna kwasasa utazidi kupata ugonjwa wa moyo na ukafa kabisa kama vipi hamia man city huku raha tu
Baada ya Wenger kutangaza kuacha kuifundisha Arsenal mwisho wa msimu huu,Huu uzi inabidi muubadilishe muuandike nimerudi kuishabikia Arsenal mpya bila Wenger.
Kwa hiyo mwakani Arsenal mabingwa wapya epl?
Hapana Arsenal moya inataka kujengwa kwa muda mrefu bila wenger itataka muda
Miaka mingine 10 ya kuijenga timu?
Hapo sijui itachukua muda gani kwa sababu mwalimu anayekuja na yeye atakuja na falsafa yake.hizi timu ambazo zimeongozwa na makocha waliokaa miaka 7 na kuendelea huwa zinataka muda si kidogo kurudi kwenye ubora wake.Wenger na yeye anaiacha club si matakwa yake ila ameshinikizwa na viongozi wa juu.kwa sababu yeye alikuwa anategemea labda atakuja kuwa na kikosi bora kama kile cha kina Henry na wenzake kumbe zama zishaisha tena.ila kila la heri Arsenal mpya irudi kuwa club za top 4 kushindania ubingwa wa ligi.
Mzee mwenzangu kitambo! kwema? pana bango lao wameandika the new chapter bado sijalielewaMsimu umeanza
Kwema mkuu, the new chapter but the same Arsenal.Mzee mwenzangu kitambo! kwema? pana bango lao wameandika the new chapter bado sijalielewa
Leo tunamfanyia Wenger send off katika uwanja mgumu kwake kupata matokeo katika EPL