Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Nimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula Asubuhi, mchana na Jioni au usiku ili nituze pesa zifikie kiwango Fulani ndipo nitaanza kula
Kwanza kula kunapoteza muda,muda ambao Mimi ningetumia kutafuta pesa au kufanya mambo mengine mie nahangaika na kula tu Huu si Ujinga Huu.
Kwanza kula kunapoteza muda,muda ambao Mimi ningetumia kutafuta pesa au kufanya mambo mengine mie nahangaika na kula tu Huu si Ujinga Huu.