Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Uwongo huwezi kuacha kula,anyway umekula?Nimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula Asubuhi, mchana na Jioni au usiku ili nituze pesa zifikie kiwango Fulani ndipo nitaanza kula
Kwanza kula kunapoteza muda,muda ambao Mimi ningetumia kutafuta pesa au kufanya mambo mengine mie nahangaika na kula tu Huu si Ujinga Huu.
Huyo kaamua kutupa chaiUtapata vidonda vya tumbo ufe
Nitakuuanganisha na jamaa mmoja kama hutajaliNimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula Asubuhi, mchana na Jioni au usiku ili nituze pesa zifikie kiwango Fulani ndipo nitaanza kula
Kwanza kula kunapoteza muda,muda ambao Mimi ningetumia kutafuta pesa au kufanya mambo mengine mie nahangaika na kula tu Huu si Ujinga Huu.
Vidonda vya tumbo vingekuwa vinasababishwa na kutokula basi wale wanaofunga wote wangeshakuwa navyo.Utapata vidonda vya tumbo ufe
Watumishi naskia hawana dispenser πUkitaka kusave pesa acha matumizi yasiyo ya lazima.....Kula ni lazima ila unakula nini? Mimi naona chakula akimalizi kitu kama upo single....chai ya ofisini kwenye dispensa na chapati bili maana yake ni Tsh 600 ,mchana unaweza ukaskip ukaja kula usiku wali wa Buku mbili.
Vitu vinavyoteketeza pesa ni starehe tu ,vitu visivyo vya lazima ambavyo unaweza usivifanye na ukaishi fresh.
angalia usije kujamba hewa kuvu kwa kukosa harufu ya chakulaNimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula Asubuhi, mchana na Jioni au usiku ili nituze pesa zifikie kiwango Fulani ndipo nitaanza kula
Kwanza kula kunapoteza muda,muda ambao Mimi ningetumia kutafuta pesa au kufanya mambo mengine mie nahangaika na kula tu Huu si Ujinga Huu.
Huwezi kuacha kula labda upunguze idadi ya milo kwa siku, tunatafuta pesa mchana na usiku ili tule, tuvae na tuishiNimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula Asubuhi, mchana na Jioni au usiku ili nituze pesa zifikie kiwango Fulani ndipo nitaanza kula
Kwanza kula kunapoteza muda,muda ambao Mimi ningetumia kutafuta pesa au kufanya mambo mengine mie nahangaika na kula tu Huu si Ujinga Huu.
Na akifa tutazitumia kwenye kununulia chakula cha msibaniUtapata vidonda vya tumbo ufe
Enjoy mkuu vunja mifupa wakati meno iko.Nimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula Asubuhi, mchana na Jioni au usiku ili nituze pesa zifikie kiwango Fulani ndipo nitaanza kula
Kwanza kula kunapoteza muda,muda ambao Mimi ningetumia kutafuta pesa au kufanya mambo mengine mie nahangaika na kula tu Huu si Ujinga Huu.
vidonda vya tumbo haviui..Utapata vidonda vya tumbo ufe
Wife unapenda kula yan usngekoment huu uz ngeshangaaKula kunamaliza pesa we 24/7 kwani unakula Gran Melia au?
Kula hii hii ya ugali nyama choma inamalizaje pesa? Hii kula ya supu chapati 2? ππ
Zisave, acha kula upate madonda ya tumbo ufe. Hizo saving zako tutapikia pilau msibani kwako