Nimeacha kula kwasasa ili niweze kuexport save pesa

Njia rahisi ya kufanya saving ni kuhakikisha unakula vizuri kila siku.
Na kutoa Sadaka au kusaidia ndugu wazazi n.k

Ukishakuwa na afya nzuri ambayo inatokana na kula mlo bora (chakula bora ) hatua inayofata ni kuacha au kupunguza Anasa Kama Pombe , sigara , uzinzi na hizo pesa utakzookoa huko weka bank au wekeza katika kitu kingine cha muhimu.


This is simple way .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…