njombe boy
Member
- Nov 14, 2015
- 29
- 2
Nikiwa na akili zangu timamu kabisa wala sijashawishiwa na mtu yoyote yule, kwa aibu hii tuliyoipata leo toka kwa Algeria, naacha kushabikia timu ya taifa, kutiana presha sipendi tena, japo nitaonekana sio Mzalendo ila potelea mbali.
we acha upuuzi ww, unaacha kuishabkia stars et kisa imefungwa 7-0.
mbna brazil alpgwa gol hzo na ujerumani tena kwenye ardhi yake!!
Ulimbukeni wa mawazo Yako
Sio kwa timu hiiVumilia baba
Brazilamechukua ubingwa wa dunia mara 5, Taifa stars wana kombe gani?we acha upuuzi ww, unaacha kuishabkia stars et kisa imefungwa 7-0.
mbna brazil alpgwa gol hzo na ujerumani tena kwenye ardhi yake!!
Ulimbukeni wa mawazo Yako
ipo na ishapigwa 2-0hv taifa stars bado tu ipo dunian?
Una akili sana !Nikiwa na akili zangu timamu kabisa wala sijashawishiwa na mtu yoyote yule, kwa aibu hii tuliyoipata leo toka kwa Algeria, naacha kushabikia timu ya taifa, kutiana presha sipendi tena, japo nitaonekana sio Mzalendo ila potelea mbali.
wamekuangusha mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] achana nao mtoto wa nyoka ni nyokaHata Serengeti Boys nao wametuangusha.
Hata Mgonjwa mahututi kabla hajakata roho hurusharusha miguu .Stars anaongoza
Mgonjwa mahututi kamtibu daktari? WaTz sisi...!!!Hata Mgonjwa mahututi kabla hajakata roho hurusharusha miguu .
Kwani daktari alikuwa anaumwa ?Mgonjwa mahututi kamtibu daktari? WaTz sisi...!!!