Nimeacha kusikiliza Wasafi Fm kwa sababu ya Zembwela

Nimeacha kusikiliza Wasafi Fm kwa sababu ya Zembwela

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Zimbwela bwana.

Amenifanya nimeacha kusikiliza Redio ya Wasafi asubuhi.

Huyu jamaa anafanya comedy hata kwenye serious issues, anatengeneza kelele masikioni na kupoteza muda wa wasikilizaji wake akidhani kuwa wasikilizaji wako tayari kusikiliza kila kitu anachosema na kufanya kwenye studio, ananiboa.

Hata bidhaa anazozitangaza ninaziona kama zisizo na ubora kwa namna anavyopitiliza kuzinadi. Anasahau kuwa "kizuri kinajiuza na kibaya kinajitembeza na kupambwa mno".

Anachohitaji mtu kwenye bidhaa ni kujua jina la bidhaa, aina na ubora wake dhidi ya bidhaa nyingine zilizoko kwenye soko ova!

Sijui kama hii inanipata mimi tu.
 
Hata bidhaa anazozitangaza ninaziona kama zisizo na ubora kwa namna anavyopitiliza kuzinadi. Anasahau kuwa "kizuri kinajiuza na kibaya kinajitembeza na kupambwa mno".

Anachohitaji mtu kwenye bidhaa ni kujua jina la bidhaa, aina na ubora wake dhidi ya bidhaa nyingine zilizoko kwenye soko ova![emoji1548][emoji1533]
 
Chumvi na ndimu, wananifurahisha Sana kwenye magazeti, huwezi penda Kila kitu na huwezi pendwa na Kila Mtu, Mimi huwa naongeza na sauti kipindi cha chumvi na ndimu na michezo, Sasa walivyoanza kuhama hama sijui nisikilize ipi
 
Utumbo hatutupi sie twalia ndizi sie tunapenda hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom