Zembwela alijiendeleza kama sijakoseaUnategemea Nini kwa watangazaji wenye elimu ya darasa la 7 Zembwela,Mpoki,Steve Nyerere etc
Unategemea Nini kwa watangazaji wenye elimu ya darasa la 7 Zembwela,Mpoki,Steve Nyerere etc
[emoji23]Uchunguzi unaonesha wakitoka mabaamedi kwa kuhamahama kazi wanafuatiwa na watangazaji wa radio
Data please na method gani ulitumia katika research yako?Uchunguzi unaonesha wakitoka mabaamedi kwa kuhamahama kazi wanafuatiwa na watangazaji wa radio.
Nasikiliza radio mno ndio maana nimebaini hiki kitu,pia napigaga mitungi kwenye bar zote za mjini na za nje ya mji nikalijua hiliData please na method gani ulitumia katika research yako?
Hapo sawa mkuu, nimekuelewaNasikiliza radio mno ndio maana nimebaini hiki kitu,pia napigaga mitungi kwenye bar zote za mjini na za nje ya mji nikalijua hili
Japo hii no fact kwamba wahudumu wa bar wanabadili badili kazi na watangazaji wa radio lakini hili la kusema kina nani wanafuata baada ya ya kina nani ni fix zangu tuu mkuuHapo sawa mkuu, nimekuelewa
Sio watangazaji tu ongezea wasio na elimuUchunguzi unaonesha wakitoka mabaamedi kwa kuhamahama kazi wanafuatiwa na watangazaji wa radio.