Nimeacha kusikiliza Wasafi Fm kwa sababu ya Zembwela

Duh bongo uchawi mwingi wanatamani ushuke chat kubabeki hii nchi sio..wananchi wake maneno mengi kazi kidogo
Hatumsagii kunguni, lakini ajue kuwa yeye ni mzee na sauti ya kizee haiwezi kuvutia wanyoa denge kama anavyojaribu kudhani. Sisi wazee wenzake tunaomsikiliza anatuboa kishenzi. Wasafi ni redio ya vijana awaache vijana wazungumze na vijana wenzie kwa lugha ya vijana.
 
Tatizo naonaga kama anatumia nguvu nyingi kupita kias mpaka inakuwa kero kwa msikilizaji,
Mpaka nabadili station nyingine maana
zile kelele nais kama yuko mitungi,
niliacha kusikiliza kipindi cha magazeti bado yupo na Kitenge,
Wanakuwaga wamelewa
 
Zembwela ni sifuri kichwani, maneno na kelele nyingi tu ndio vinambeba.
 
Kumbe tuko wengi jamaa anauzi sana kelele mpaka kero
 
Mi pia namkubali zembwela....
Sijawahi kukupinga ila kwa hili hapana nakupinga waziwazi tena kuna kina mpoki Steve nyenyere sijui mc pilipili na yule muigizaji wa old fashion alikuwaga na kina Kanumba kaole group mfupi mfupi hivi yaani daah!!
 
Itisha maandamano ya amani ya kupinga namna anavyosifia matangazo
 
Sijawahi kukupinga ila kwa hili hapana nakupinga waziwazi tena kuna kina mpoki Steve nyenyere sijui mc pilipili na yule muigizaji wa old fashion alikuwaga na kina Kanumba kaole group mfupi mfupi hivi yaani daah!!
Kwamba kisichokufurahisha wewe ndio kila mtu hakimfurahishi????
 
Bado unaakili za radio Zama hizi?!
 
Chumvi na ndimu, wananifurahisha Sana kwenye magazeti, huwezi penda Kila kitu na huwezi pendwa na Kila Mtu, Mimi huwa naongeza na sauti kipindi cha chumvi na ndimu na michezo, Sasa walivyoanza kuhama hama sijui nisikilize ipi
Kuwa busy na kuperuzi humu JF huku ukiendelea kusubiria kipindi kipya
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…