Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

Mm mwnyw hapa kuna demu nampanga kesho tukakulane, yn naenda kununua gonjwa la zinaa kwa kupenda
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Uzuri umeshajiandaa kisaikolojia mkuu,sio Ile unaamka asubuhi huna hili wala lile unashangaa tu Mbona hii mbooh Leo Ina modifications sijazielewa kabisa ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Mshana chanjo cha dkk 2 zinazozungumzwa ni wanawake wanaojiuza

Mwanamke anayejiuza hataki hata ufikishe dakika 3 Hawa wetu wa Dar Ili aingize pesa atafute mwingine

Ndipo ulipoanza usemi wa amsha popo maana yake kijana anapiga Tako 3 mpaka 5 ashamaliza Ikawa imesambaa mpaka Sasa wao ndiyo wanakuja kulalama wanaume hawana nguvu

Hivi ni nchi Gani zaidi yetu ya Tanzania wanaolalamikia wanaume kukosa nguvu za kiume!? Kama utasema Kenya wao walishajipambanua kuwa chanzo cha hao ni wanaume kuwa walevi kupindukia

Kwetu Huku .....
Chanzo comradhi
 
Hebu fafanua hii Mshana Jr
Huwa tunadhani hawana hisia kama sisi
Huwa tunadhani hawana maumivu kama sisi
Huwa tunadhani hawana wivu kama sisi
Wengi huwachukulia kama chombo cha starehe na kutimiza hamu na mahitaji ya mwanaume
Hawa ni viumbe kama sisi tofauti ni jinsia tuu
Wanahitaji upendo, care, heshima na kujaliwa utu wao... Ni wasehevu sana tuu lakini wakichoka wamechoka
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Uzuri umeshajiandaa kisaikolojia mkuu,sio Ile unaamka asubuhi huna hili wala lile unashangaa tu Mbona hii mbooh Leo Ina modifications sijazielewa kabisa ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Hapa naandaa na pesa ya emergency mana lolote linaweza kutokea, hawa waschana wazuri sio wa kuwaamini sana hasa kwenye magonjwa
 
Huwa tunadhani hawana hisia kama sisi
Huwa tunadhani hawana maumivu kama sisi
Huwa tunadhani hawana wivu kama sisi
Wengi huwachukulia kama chombo cha starehe na kutimiza hamu na mahitaji ya mwanaume
Hawa ni viumbe kama sisi tofauti ni jinsia tuu
Wanahitaji upendo, care, heshima na kujaliwa utu wao... Ni wasehevu sana tuu lakini wakichoka wamechoka
Thread ifungwe twende kwenye kula kimasihara
 
IMG_6636.png
 
Huwa tunadhani hawana hisia kama sisi
Huwa tunadhani hawana maumivu kama sisi
Huwa tunadhani hawana wivu kama sisi
Wengi huwachukulia kama chombo cha starehe na kutimiza hamu na mahitaji ya mwanaume
Hawa ni viumbe kama sisi tofauti ni jinsia tuu
Wanahitaji upendo, care, heshima na kujaliwa utu wao... Ni wasehevu sana tuu lakini wakichoka wamechoka

Nimekuelewa. Uko sahihi mkuu

Ijapokuwa wanawake wengine ni pasua kichwa pia
 
Nimeanza kukupenda naomba unioe mke wa pili
Wanaume smart na matured huwa alwys wasema ukweli.... waangalie wale wenzangu na mimi sasa...kuutwa kufungulia nyuzi wanawake kulia lia tu...hovyo sana!
 
Mkuu pole sana. Mimi ndani ya masaa mawili yajayo naenda kumpa taraka mke wangu niliyempenda hii dunia ina siri nyingi sana.
 
Back
Top Bottom