Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu hata mimi sijamuelewa, naona anaandika kwa hasira.oky,
ila kiukweli sijakuelewa na nafikiri si lazima kila uzi niuelewe.
Au shemejio anakutaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata mimi sijamuelewa, naona anaandika kwa hasira.oky,
ila kiukweli sijakuelewa na nafikiri si lazima kila uzi niuelewe.
Au shemejio anakutaka?
Wapo baadhi ambao ni vimeo kuliko koromeoNimekuelewa. Uko sahihi mkuu
Ijapokuwa wanawake wengine ni pasua kichwa pia
Kabisa mkuuWapo baadhi ambao ni vimeo kuliko koromeo
Hata wazee.siku hizi vijana hawaangamii kwa kukosa maarifa bali papuchi
Sasa mzee si akapumzishe tu fuvu mbona anaonekana kuboreka sana, hapo utakuta huyo mtu kanywa castle 20 😂😂Hata wazee.
View attachment 2376954
Acha utani, unataka kuniambia kwamba huyu mshana Jr ana mke mmoja tuu kweli? Hadi wewe utake kuwa wa pili?Nimeanza kukupenda naomba unioe mke wa pili
Hata mke wa sita nimeridhia.Acha utani, unataka kuniambia kwamba huyu mshana Jr ana mke mmoja tuu kweli? Hadi wewe utake kuwa wa pili?
Mtake radhi unajua ni mtu mkubwa sana kuwa na mke mmoja unamuangusha.
Hapo sawa, nilitaka kushangaa kweli.Hata mke wa sita nimeridhia.
Am in love [emoji170][emoji170]
Uko sahihi mkuuLakini mara nyingi matatizo ya mwanamke chanzo ni mwanaume.
NAKAZIAOky,
Ila kiukweli sijakuelewa na nafikiri si lazima kila uzi niuelewe.
Au shemejio anakutaka?
U ar in love or u fall in love ???Hata mke wa sita nimeridhia.
Am in love [emoji170][emoji170]
Pls behaveMpe mbususu
View attachment 2376947
unajua ni mtu mkubwa sana kuwa na mke mmoja unamuangusha.[emoji23]Acha utani, unataka kuniambia kwamba huyu mshana Jr ana mke mmoja tuu kweli? Hadi wewe utake kuwa wa pili?
Mtake radhi unajua ni mtu mkubwa sana kuwa na mke mmoja unamuangusha.
na matatizo ya wanaume weng chanzo n wanaweke.... nusu ya robo ya maisha ya wanaume ktk dunia ya leo yapo chin ya mwanamke. leo hii asubh yako ipo chn ya mkeo mchan na uck yote ipo chini ya mkeo yan huduma zak karbia zote zipo chini ya mkeo.... ana uwezo wa kukfanyia chchte kileLakini mara nyingi matatizo ya mwanamke chanzo ni mwanaume.
Well saidna matatizo ya wanaume weng chanzo n wanaweke.... nusu ya robo ya maisha ya wanaume ktk dunia ya leo yapo chin ya mwanamke. leo hii asubh yako ipo chn ya mkeo mchan na uck yote ipo chini ya mkeo yan huduma zak karbia zote zipo chini ya mkeo.... ana uwezo wa kukfanyia chchte kile
😂😂😂Oky,
Ila kiukweli sijakuelewa na nafikiri si lazima kila uzi niuelewe.
Au shemejio anakutaka?