Nimeacha pombe kupitia mkesha wa pasaka hii

Kumbe umeacha, unajisifu hata wiki hujatimiza
[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] unaweza wacha mke wa kanisa katoliki lakini sio gambe mi nimepambana miaka 15*++nimeshindwa

mimeacha mume ajili ya mayiii pombe mimi kwangu ni taaaamuuuu sana hapa nina kesto laga 8,
tangu sa 11*"jioni hii loh
 
Mkuu how can we advice you kuacha pombe kama wewe mwenyewe ujajiandaa kuacha?,maana ilivyo ni kuwa changes comes from within,kama hujajiandaa kisaikolojia kuacha dont think "subconscious mind" yako itakuabaliana na hayo maamuzi,kumbuka kutamka na kuapa kuwa hutakunywa tena ni jambo moja,na kuacha kivitendo ni jambo lingine,do you think watu wote unaowaona wapo Bar wanakunywa hawapendi au hawajawahi kuwaza kuacha?,si kazi rahisi kama hujajiandaa wewe kwanza,jamani Discipline ya kuacha mambo ya mazoea inahtaji maamuzi magumu sana,vinginevyo utaacha leo baada ya wiki mbili utarudi,mbona tulisikia Ray c aliacha kutumia madawa ya kulevya na alikua yupo kwenye dozi lakini for now inasemekana ameanza tena kutumia unadhani anapenda?na matukio mengi yanayotushinda binadamu kuacha si kuwa tunapenda bro!,myself ilinipa shida sana kuachana na wanawake nilikua naapa kama wewe kwamba huyu ndio wa mwisho leo,but nikawa narudia tena,mpaka nilipoamua rasmi kimwili,kiroho na kinafsi kwamba sitafanya tena isipokua kwa mke wangu tu...Nachokushauri punguza idadi ya bia mwisho wa siku utaacha kabisa lakini sio kukurupuka kwa sababu ya hangover ya siku moja,jaribu kuwepa kampani za marafiki zako wanaokushawishi mkapige vyombo,jipe muda kwenye kazi zako na familia yako,....najua wewe ni kijana kwa stori yako nimejaribu kufanya mchanganuo kidogo hapa chini
Bia zako peke yako jumla 15*2,000=30,000/=
Bia za demu na washkaji 10*2000=20,000/=
Supu mliyokunywa ule usiku jumla 6,000/=
Lodge mliolala na demu mzuri ~20,000/=
Pesa uliyompa demu leo jumla 20,000/=
Mengineyo ambayo ujatuambia 5,000/=
JUMLA KUU ni kama Tsh 101,000/=(laki moja)..............hebu jifikirie hizo pesa unazopoteza na juu yake unajiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyotibika just kwa starehe ya siku moja!!!!,(JITHAMINI,AMUA,JITAMBUE utafanikiwa)
 
Ndugu wanajamvi nimesikia uamuzi huu mkesha wasikuu wa jana nimekunywa bia takribani 15 (castle lager) KB tabata bima Aiseeee nilimpata mtoto mmoja mzuri sana anasoma chuo cha ualimu St merry lengo awe mwalimu tulikutana pale tumekunywa pamoja bia nililewa sana tumeondoka SAA 10 pale huwa kuna supu ya mbuz mda huo tumeondoka tukiwa tumepiga supu nimefika nikamgegeda mtoto wa watu nimemuachia SAA 9 mchana niliwakomalia lodge saaa 3 wanataka wanitoe nikawaambia mimi nimeingia Leo Tarehe ya Leo ntatoka kesho mpaka sasa mtoto ninae nimefikia uamuz huu baada ya kuamuka nimechoka nikikosa hamu ya chakula nakosa raza kabisa ya chakula nasema tena mie na pombe basi nimeacha Byeeee pombe kwanza unazeeeesha sikutaki.Ushauri wana JF tuacheni pombe wakuuu
Ungesubiri pombe ziishe kwanza. Hapa full harufu ya pombe.
Nusura nife maana maelezo hayana nukta...!
 
Mkuu how can we advice you kuacha pombe kama wewe mwenyewe ujajiandaa kuacha?,maana ilivyo ni kuwa changes comes from within,kama hujajiandaa kisaikolojia kuacha dont think "subconscious mind" yako itakuabaliana na hayo maamuzi,kumbuka kutamka na kuapa kuwa hutakunywa tena ni jambo moja,na kuacha kivitendo ni jambo lingine,do you think watu wote unaowaona wapo Bar wanakunywa hawapendi au hawajawahi kuwaza kuacha?,si kazi rahisi kama hujajiandaa wewe kwanza,jamani Discipline ya kuacha mambo ya mazoea inahtaji maamuzi magumu sana,vinginevyo utaacha leo baada ya wiki mbili utarudi,mbona tulisikia Ray c aliacha kutumia madawa ya kulevya na alikua yupo kwenye dozi lakini for now inasemekana ameanza tena kutumia unadhani anapenda?na matukio mengi yanayotushinda binadamu kuacha si kuwa tunapenda bro!,myself ilinipa shida sana kuachana na wanawake nilikua naapa kama wewe kwamba huyu ndio wa mwisho leo,but nikawa narudia tena,mpaka nilipoamua rasmi kimwili,kiroho na kinafsi kwamba sitafanya tena isipokua kwa mke wangu tu...Nachokushauri punguza idadi ya bia mwisho wa siku utaacha kabisa lakini sio kukurupuka kwa sababu ya hangover ya siku moja,jaribu kuwepa kampani za marafiki zako wanaokushawishi mkapige vyombo,jipe muda kwenye kazi zako na familia yako,....najua wewe ni kijana kwa stori yako nimejaribu kufanya mchanganuo kidogo hapa chini
Bia zako peke yako jumla 15*2,000=30,000/=
Bia za demu na washkaji 10*2000=20,000/=
Supu mliyokunywa ule usiku jumla 6,000/=
Lodge mliolala na demu mzuri ~20,000/=
Pesa uliyompa demu leo jumla 20,000/=
Mengineyo ambayo ujatuambia 5,000/=
JUMLA KUU ni kama Tsh 101,000/=(laki moja)..............hebu jifikirie hizo pesa unazopoteza na juu yake unajiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyotibika just kwa starehe ya siku moja!!!!,(JITHAMINI,AMUA,JITAMBUE utafanikiwa)
Mbona makadirio hayo ni ya chini namna hiyo? demu gani wa kuspend naye siku mbili hlf umuachie elf 20? kwa demu standard itabidi ikuchomoke laki na kuendelea. bei ya bia kweli si 2500? ushauri mzuri lakini.
 
Mkuu how can we advice you kuacha pombe kama wewe mwenyewe ujajiandaa kuacha?,maana ilivyo ni kuwa changes comes from within,kama hujajiandaa kisaikolojia kuacha dont think "subconscious mind" yako itakuabaliana na hayo maamuzi,kumbuka kutamka na kuapa kuwa hutakunywa tena ni jambo moja,na kuacha kivitendo ni jambo lingine,do you think watu wote unaowaona wapo Bar wanakunywa hawapendi au hawajawahi kuwaza kuacha?,si kazi rahisi kama hujajiandaa wewe kwanza,jamani Discipline ya kuacha mambo ya mazoea inahtaji maamuzi magumu sana,vinginevyo utaacha leo baada ya wiki mbili utarudi,mbona tulisikia Ray c aliacha kutumia madawa ya kulevya na alikua yupo kwenye dozi lakini for now inasemekana ameanza tena kutumia unadhani anapenda?na matukio mengi yanayotushinda binadamu kuacha si kuwa tunapenda bro!,myself ilinipa shida sana kuachana na wanawake nilikua naapa kama wewe kwamba huyu ndio wa mwisho leo,but nikawa narudia tena,mpaka nilipoamua rasmi kimwili,kiroho na kinafsi kwamba sitafanya tena isipokua kwa mke wangu tu...Nachokushauri punguza idadi ya bia mwisho wa siku utaacha kabisa lakini sio kukurupuka kwa sababu ya hangover ya siku moja,jaribu kuwepa kampani za marafiki zako wanaokushawishi mkapige vyombo,jipe muda kwenye kazi zako na familia yako,....najua wewe ni kijana kwa stori yako nimejaribu kufanya mchanganuo kidogo hapa chini
Bia zako peke yako jumla 15*2,000=30,000/=
Bia za demu na washkaji 10*2000=20,000/=
Supu mliyokunywa ule usiku jumla 6,000/=
Lodge mliolala na demu mzuri ~20,000/=
Pesa uliyompa demu leo jumla 20,000/=
Mengineyo ambayo ujatuambia 5,000/=
JUMLA KUU ni kama Tsh 101,000/=(laki moja)..............hebu jifikirie hizo pesa unazopoteza na juu yake unajiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyotibika just kwa starehe ya siku moja!!!!,(JITHAMINI,AMUA,JITAMBUE utafanikiwa)
Hujaweka ela ya taxi 20,000/
so jumla ni 121,000/-
 
.. Tumejua jana.. Umegegeda...

Plus huwez sema umeacha pombe.. Jana tu.. Tuambie.. Mwez wa kumi.. Tuna weza amin...
 
Duh una kichwa chepesi sana 15 tu tena maji ya bia? ungekunywa Grants kubwa ungezma
 
Mkuu how can we advice you kuacha pombe kama wewe mwenyewe ujajiandaa kuacha?,maana ilivyo ni kuwa changes comes from within,kama hujajiandaa kisaikolojia kuacha dont think "subconscious mind" yako itakuabaliana na hayo maamuzi,kumbuka kutamka na kuapa kuwa hutakunywa tena ni jambo moja,na kuacha kivitendo ni jambo lingine,do you think watu wote unaowaona wapo Bar wanakunywa hawapendi au hawajawahi kuwaza kuacha?,si kazi rahisi kama hujajiandaa wewe kwanza,jamani Discipline ya kuacha mambo ya mazoea inahtaji maamuzi magumu sana,vinginevyo utaacha leo baada ya wiki mbili utarudi,mbona tulisikia Ray c aliacha kutumia madawa ya kulevya na alikua yupo kwenye dozi lakini for now inasemekana ameanza tena kutumia unadhani anapenda?na matukio mengi yanayotushinda binadamu kuacha si kuwa tunapenda bro!,myself ilinipa shida sana kuachana na wanawake nilikua naapa kama wewe kwamba huyu ndio wa mwisho leo,but nikawa narudia tena,mpaka nilipoamua rasmi kimwili,kiroho na kinafsi kwamba sitafanya tena isipokua kwa mke wangu tu...Nachokushauri punguza idadi ya bia mwisho wa siku utaacha kabisa lakini sio kukurupuka kwa sababu ya hangover ya siku moja,jaribu kuwepa kampani za marafiki zako wanaokushawishi mkapige vyombo,jipe muda kwenye kazi zako na familia yako,....najua wewe ni kijana kwa stori yako nimejaribu kufanya mchanganuo kidogo hapa chini
Bia zako peke yako jumla 15*2,000=30,000/=
Bia za demu na washkaji 10*2000=20,000/=
Supu mliyokunywa ule usiku jumla 6,000/=
Lodge mliolala na demu mzuri ~20,000/=
Pesa uliyompa demu leo jumla 20,000/=
Mengineyo ambayo ujatuambia 5,000/=
JUMLA KUU ni kama Tsh 101,000/=(laki moja)..............hebu jifikirie hizo pesa unazopoteza na juu yake unajiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa yasiyotibika just kwa starehe ya siku moja!!!!,(JITHAMINI,AMUA,JITAMBUE utafanikiwa)
Asante mkuu kwa ushauri wako mzr
 
Back
Top Bottom