Nimeacha Pombe nimeacha Kununua Nyapu,,, lakini hela nayo imetafuta pa kupotelea.

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
17,404
Reaction score
10,900
Pombe Na Mbunye vilikuwa vinanicost sana.Lakini Toka nimeacha hivyo vitu nashangaa nimeshikwa Na Ulevi mbaya wa Kubet. Kubet kunatafuna hela kinoma.Unaliwa Leo hela unasema kesho sichezi unashangaa ukipata hela unasema ngoja nikomboe hela zangu.Unaliwa tena.Kanji anatajirika sisi tunazidi kupukutika.Tanzania ya Viwonder
 
[emoji3][emoji3][emoji3]. Siku hizi kila nikiingia web ya mkekabet. Nahisi kichwa kinauma natoka.
Na yote haya kayataka man u.
 
Mm nilibeti siku moja nikaliwa nikajaribu tena na tena na tena na tena, nikaliwa nikaa wiki 3 siku beti baadaye nikaenda kubeti nikala milioni 4 sikuamini macho yangu, mhindi alinimaindi sana akafoka sana ila baada ya hapo siku beti tena mpaka leo.
 
Back
Top Bottom