Nimeacha Pombe nimeacha Kununua Nyapu,,, lakini hela nayo imetafuta pa kupotelea.

Nimeacha Pombe nimeacha Kununua Nyapu,,, lakini hela nayo imetafuta pa kupotelea.

Mm nilibeti siku moja nikaliwa nikajaribu tena na tena na tena na tena, nikaliwa nikaa wiki 3 siku beti baadaye nikaenda kubeti nikala milioni 4 sikuamini macho yangu, mhindi alinimaindi sana akafoka sana ila baada ya hapo siku beti tena mpaka leo.
Hata mie nitastaafu kubet nikila kama wewe yaani unapata kiinua Mgongo,mafao mapema
 
Pombe Na Mbunye vilikuwa vinanicost sana.Lakini Toka nimeacha hivyo vitu nashangaa nimeshikwa Na Ulevi mbaya wa Kubet. Kubet kunatafuna hela kinoma.Unaliwa Leo hela unasema kesho sichezi unashangaa ukipata hela unasema ngoja nikomboe hela zangu.Unaliwa tena.Kanji anatajirika sisi tunazidi kupukutika.Tanzania ya Viwonder
Siku nikiacha papuchi nitahama dunia. Hakuna kitu kitamu katika dunia hii utaishi bila hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom