Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
- Thread starter
- #21
Hata mie nitastaafu kubet nikila kama wewe yaani unapata kiinua Mgongo,mafao mapemaMm nilibeti siku moja nikaliwa nikajaribu tena na tena na tena na tena, nikaliwa nikaa wiki 3 siku beti baadaye nikaenda kubeti nikala milioni 4 sikuamini macho yangu, mhindi alinimaindi sana akafoka sana ila baada ya hapo siku beti tena mpaka leo.