Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Pombe Na Mbunye vilikuwa vinanicost sana.Lakini Toka nimeacha hivyo vitu nashangaa nimeshikwa Na Ulevi mbaya wa Kubet. Kubet kunatafuna hela kinoma.Unaliwa Leo hela unasema kesho sichezi unashangaa ukipata hela unasema ngoja nikomboe hela zangu.Unaliwa tena.Kanji anatajirika sisi tunazidi kupukutika.Tanzania ya Viwonder