Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Umeacha na kudinda umesahau kuandika
Kubet kuna ushawishi ukipiga ka hela siku Moja unaamini Na siku nyingine utapigaJaribu kuacha na kubet na mrudie Mungu.
Mbaya zaidi nabet online tu kupitia simu hapo ndio shida ilipoKama uliweza kuacha mbunye na pombe, sembuse kubet!!!.
Ukiamua pia utaweza tu kuacha
[emoji3][emoji3][emoji3]. Siku hizi kila nikiingia web ya mkekabet. Nahisi kichwa kinauma natoka.Pombe Na Mbunye vilikuwa vinanicost sana.Lakini Toka nimeacha hivyo vitu nashangaa nimeshikwa Na Ulevi mbaya wa Kubet. Kubet kunatafuna hela kinoma.Unaliwa Leo hela unasema kesho sichezi unashangaa ukipata hela unasema ngoja nikomboe hela zangu.Unaliwa tena.Kanji anatajirika sisi tunazidi kupukutika.Tanzania ya Viwonder
Huko fungu la kumiJaribu kuacha na kubet na mrudie Mungu.
Ukimrudia Mungu utaliwa kwa njia ya sadaka zisizo na mpangilioJaribu kuacha na kubet na mrudie Mungu.
Leo kuna watu wanalia kimya kimya[emoji3][emoji3][emoji3]. Siku hizi kila nikiingia web ya mkekabet. Nahisi kichwa kinauma natoka.
Na yote haya kayataka man u.
Ule Uzi nauchungulia Na kukimbia kila nikichagua timu kadhaa unashangaa Moja imeharibuKaribu sana kwenye Uzi "Wazee wenzangu wa kuweka mzigo"